Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana kwa pole yako, binafsi mimi mwenyewe naanza kujilaumu mwenyewe kwa kuwa Mtanzania, nimekuelewa 100%Unaweza kujiuliza maswali 200,na usipate jibu hata moja juu ya taifa la Tanzania hasa watu wake.
Hivi hawa ni Binadamu kutoka sayari hii ya Dunia au ni viumbe kutoka Planet X?
Binadamu aliyekamilika ni lazima awe na kumbukumbu za kutosha juu ya kila Tukio analopitia.
Tanzania hii hakuna tena anayekumbuka juu ya vitambulisho vya kupigia kura na Driving Licence kuwa vyote vina mfumo wa Biometric (unaohifadhi alama za vidole).
95% ya Watanzania wana vitambulisho vya kupigia kura vyenye mfumo wa Biometric sawa tu na Vitambulisho vya Taifa, lakini leo hii eti hivyo Vitambulisho havitakiwi kusajilia line za simu hadi viwe Vitambulisho vya Taifa.
Eti lengo ni kudhibiti uhalifu, sasa binadamu mmoja ana fingerprints ngapi kama ID za kura ambazo pia zilipatikana kama Vitambulisho vya Taifa kwa njia hiyo hiyo ya alama za vidole leo tena havifai?
Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence, sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?
Details za kila raia na fingerprints zake zipo Tayari kupitia Vitambulisho vya kura. Taifa lenye mamilioni ya wajinga wamesahau kuwa information zao zilishachukuliwa na fingerprints pia.
Neno la Mungu katika Kitabu cha Mithali linasema "Mwanangu mtafute sana Elimu na wala Usimwache aende zake”.
Poleni Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapelekee wale mabwana unaowakimbilia labda watakujibu.... Itume na hiiJibu hoja za bandiko langu na siyo kuni attack binafsi mbumbumbu mkubwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu huu. Yaani kuwa rais kunafanya mtu kujiona ana akili kupita waTz wote karibia milioni 50.technically,
Watu milioni 24 au simcard milioni 24?!
Anyway umeeleweka japokuwa ulipewa muda wa kutosha!
Kama raia wa kigeni anaweza kuruhusiwa kupiga kura basi hii nchi itakuwa ya kiboya sana !Wewe nawe msahaulifu mkubwa zaidi.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya udereva hakukuwa na uhakiki/usahili wa idara ya uhamiaji kujiridhisha uraia wa muombaji.
Umesahau ktk vitambulisho vya kura hakukuwa na uwasilishaji cheti cha kuzaliwa.
Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
#Ujuaji mwingi mbele giza.
#Waacheni wenye wajibu na taaluma zao wafanye kazi zao kitaalamu, sio kila kitu siasa.
...🙄🙄🙄 hii kali aisee..,
Umesahau na passport, yaani mpaka hivi vidole vyangu vimeanza kufutika hizo alama kila siku wanaviramba, hata ukisafiri pia wanaramba vidole, I’m tired
Watu wajinga nyie mnaongozwa na wajinga wenzenu, mnakaa kuwananga wazungu eti "Mabeberu "wakati maisha yenu 98% mnawategemea wazungu hao hao.Wapelekee wale mabwana unaowakimbilia labda watakujibu.... Itume na hii
Yes, so what?Titicomb, In short ninyi ni taifa la wajinga mnaotawaliwa na wajinga wenzenuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 20 Simu zitazimwa kama ilivyopangwa,watu watalia sana kwa kuzimiwa simu,kisha Magufuli atainuka na kutangaza kufuta uamuzi wa kufungia simu za watu,mkurugezi wa NIDA na someone from TCcra watatumbiliwa kuonesha kwamba ndo waliofanya uzembe huo na kiongozi wa malaika hakuwa akijua.Yaani strategies za Magufuli katika kupata political mileage, hata mwanangu wa std two would have done much betterUnaweza kujiuliza maswali 200,na usipate jibu hata moja juu ya taifa la Tanzania hasa watu wake.
Hivi hawa ni Binadamu kutoka sayari hii ya Dunia au ni viumbe kutoka Planet X?
Binadamu aliyekamilika ni lazima awe na kumbukumbu za kutosha juu ya kila Tukio analopitia.
Tanzania hii hakuna tena anayekumbuka juu ya vitambulisho vya kupigia kura na Driving Licence kuwa vyote vina mfumo wa Biometric (unaohifadhi alama za vidole).
95% ya Watanzania wana vitambulisho vya kupigia kura vyenye mfumo wa Biometric sawa tu na Vitambulisho vya Taifa, lakini leo hii eti hivyo Vitambulisho havitakiwi kusajilia line za simu hadi viwe Vitambulisho vya Taifa.
Eti lengo ni kudhibiti uhalifu, sasa binadamu mmoja ana fingerprints ngapi kama ID za kura ambazo pia zilipatikana kama Vitambulisho vya Taifa kwa njia hiyo hiyo ya alama za vidole leo tena havifai?
Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence, sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?
Details za kila raia na fingerprints zake zipo Tayari kupitia Vitambulisho vya kura. Taifa lenye mamilioni ya wajinga wamesahau kuwa information zao zilishachukuliwa na fingerprints pia.
Neno la Mungu katika Kitabu cha Mithali linasema "Mwanangu mtafute sana Elimu na wala Usimwache aende zake”.
Poleni Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utaratibu wa kudhibiti hayo yote unaanzia kwenye vitambulisho vya NIDA.Kama raia wa kigeni anaweza kuruhusiwa kupiga kura basi hii nchi itakuwa ya kiboya sana !
kama hoja ni usahili wa idara ya uhamiaji,je passport zinaruhusiwa kutumika kwenye usajiri wa laini?Wewe nawe msahaulifu mkubwa zaidi.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya udereva hakukuwa na uhakiki/usahili wa idara ya uhamiaji kujiridhisha uraia wa muombaji.
Umesahau ktk vitambulisho vya kura hakukuwa na uwasilishaji cheti cha kuzaliwa.
Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
#Ujuaji mwingi mbele giza.
#Waacheni wenye wajibu na taaluma zao wafanye kazi zao kitaalamu, sio kila kitu siasa.
Mbaya zaidi hatujijui kama sisi ni wajingaTiticomb, In short ninyi ni taifa la wajinga mnaotawaliwa na wajinga wenzenuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu utakuta yeye keishajisali NIDA na line zake vilevile kisha anakuja kupumbaza wajinga waliojazana JF huku wakijifanya sana akili kuliko wengine.Umeandika kwenye mada yako;
''Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints Tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence,sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?''.
Ni kitu gani kinachotafutwa? Naomba unielimishe!
Nimekuomba unielimishe kwa sababu kwa sasa hapa Jamiiforums kumejitokeza baadhi ya wanachama ambao wanadhani hisia zao ndio ukweli lakini kibaya zaidi wanataka kuwalazimisha na watu wengine kwa hoja za nguvu waamini hisia zao!
My Son drink water,
Unaendeshwa na mihemko. Punguza munkari uusome vema mchezo. Hasira zako kwa mtu mmoja zisikufanye utuandikie upupu. Kwani una bifu nasi. Mjinga mwenyewe.