Pre GE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umemaliza kila kitu.
naona uko makini sana mwalimu wa fasihi andishi, unatembea neno kwa neno, nukta kwa nukta🤣

nakubali, nakubali 🐒

wanainchi=wananchi
kwendra=kwenda

maana zinabaki vilevile 🐒
 
naona uko makini sana mwalimu wa fasihi andishi, unatembea neno kwa neno, nukta kwa nukta🤣

nakubali, nakubali 🐒

wanainchi=wananchi
kwendra=kwenda

maana zinabaki vilevile 🐒
Masister du huwa mnakuwa na mbwembwe zisizo na maana. Haya endeleea
 
Halafu unaweka vi emoji vya tumbili kutucheka eeeeeh? Una dharau sana wewe mbunge wa CCM!
 
Halafu unaweka vi emoji vya tumbili kutucheka eeeeeh? Una dharau sana wewe mbunge wa CCM!
hiyo ni Ishara ya mtumishi mnyonge nisiestahili. Ni Neema na Baraka za Mungu, bidii katika kazi kimwili na kiroho ndizo tu zinanistahilisha na kunipa heshima kwa wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒

si umeona kamelowa na baridi 🐒
 
Mkuu changamoto za majimboni haijawi kuisha

Ila najuwa unatafuta pesa zako Wala huna habr n wananchi uko unafikiri appotment zako kumalizia zilizko dodom ilazo Wala huna jema unalo wawasia wananchi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ndugu mwanainchi unanifurahisha sana 😀

nikupongeze kwa namna ambavyo unafuatilia changamoto mbalimbali majimboni na hata ukahitimisha kwamba hazijawahi kwisha, hiyo ni mzuri sana...

nami nachelea kukiri kwamba changamoto majimboni ni nyingi mno na kwakwekweli si rahisi kuzimaliza zote kwa mara moja ila inawezekana tukuamua....

kuhusu kutafuta pesa,
Ni kiri tu kwamba ni kweli natafuta pesa na nimekua nikitafuta pesa kwa muda mrefu kwa wadau, wafadhili, mashirika na wahisani mbakimbali wa ndani na nhe ya nchi, ili kusudi miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wanainchi iweze kukamilika na kutoa huduma kwa wanainchi wenyewe na so vinginevyo...

Kuhusu apointiment sifahamu unamaanisha nini,
Ila kwasasa nipo jimboni nikifanya enguagements na wananchi katika vijiji, kata na taarafa mbalilmbali lakini pia kukagua miradi ambayo ipo hatua mbalimbali na huko ndiko nilipopata hata hilo ombi la wananchi wangu kwamba na awamu ijayo pia wangependelea niendelee na kazi hii mujarabu sana jimboni...
 
Utajisifia sana zerooo 😊
 
Utajisifia sana zerooo 😊
sina budi kujisifia japokua haipendezi, lakini najizuia nisihesabiwe hatia, bali nasema ukweli juu ya maono niliyonayo...

nitajisifia udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu,

maana ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu.....
 
Basi sawa chawa
 
Shida sio wewe tatizo ukishafika bungeni utafyata mziki hata ujejej
 
Shida sio wewe tatizo ukishafika bungeni utafyata mziki hata ujejej
hapana siwezi ufyata muziki wa yeyote mule Mjengoni,

nasemaga kweli na nitaendelea kusema kweli tupu daima kwa maslahi mapema ya Wananchi na Taifa kwa ujumla 🐒
 
next time tutaingalia hiyo tuone kama tunaweza kuibust na kuiboresha kidogo.
hata hivyo itategemea hali ya uchumi itakavyokua kwa wakati huo [emoji205]
Yah onesheni ubinadamu kidogo hata nchi itapata maendeleo kidogo kuliko Hali ilivyo sasa.

Kati ya watumishi laki saba ni watumishi 2000+ tu ndio wanakula vizuri keki ya Taifa Huku wengine wakiishi Kwa mateso makubwa na hali duni.

HII NI HATARI HATA KWA USALAMA WA TAIFA.
 
Halafu kwenye Elimu mmetengeneza janga lingine kupitia sera mpya ya Elimu.

Mmeweka ugumu wa watu kuingia kwenye Ualimu bila kuweka motisha ya watu kupenda Ualimu.
 
Ila mpunga ukiwa mzuri utaweza tu mzee just imagine 16M per month au uache upate TGS huko halmashauri.

Kesho ukiambiwa na ccm utagombea urais 2025 utakataa ?

Unajua maslahi Bora kwanza hayo mengine ni ziada tuu.
 
ila mwalimu bana acha uchokozi basi 😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…