Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.

Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.

Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.

Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.

By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.

Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
 
Raisi wa viti maalumu. 😆😆😆
 
Ngoja wakuzingire
 
Hopeless Samia
 
MamaSamia2025 anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
 
By the way mbona siku hizi huonekani
Mweshimiwa rais wa viti maalum?
 
We kweli mtoto wa mbu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…