Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

Watavunaga wanachopanda tu kama sio wao watoto na wajukuu zao, kuna mtu alikua katili kama jiwe? Leo hii yupo wapi? Wote pua zetu zinatazama chini na tunaelekea huko kama sio leo ni kesho. Umwamba una mwisho wake tena wa aibu!

Leo tunamzika bingwa wa mieleka kule US tena kafa ghafla tu na manguvu yake na mamisuli itakua kifua kipana dikteta uchwara wa mama?
 
Back
Top Bottom