Samia hahangaiki na vibwengo km lissu na sukuma gang, mnajipendekeza, mnazusha, mnajitekenya, mnacheka wenyewe ht hasomi haya matope yenu.Yeye alidhani adui yake ni Lissu
We ukatibiwe utakufa kabla ya uchaguzi mkuuHuyo amekataliwa duniani na mbinguni
Wewe ndiyo unijui mimi nipo jf masaa 24 waukize watu humu watakuambia ....kama unijui mimi basi wewe ni mgeni humu ..sikuizi sipigwi ban baada ya JF kuona kila nilicho sema ni sahihi ....nilikuwa naoigwa ban8 kila wikiSasa ni vii hatukuwahi kukutana nyakati zote hizo hadi sasa!
Jukwaa hili kwangu ni kama nyumbani; na mara nyingi michango ya aina hiyo unayoizungumzia haa nisingekosa kuwa nimeshiriki! Jina siyo geni, lakini sina kumbukumbu ya michango ya aina hiyo! Labda kama ilikuwa ni ya mara moja moja!
Hata hivyo, la muhimu sasa hivi ni huyu shetani kutoata mwanya wa kuendelea kumwaga damu ya waTanzania.
Ukijua jinsi ya kuishi na watu hutapata tabu,unayemuona adui yako anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwako, kuliko unayemuamini na unakula nae sahani moja anaweza kuwa adui yako mbaya sana, ndio kinachotokea sasa,Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.
Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.
Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.
By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.
Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
Afee tu, kifo ni kifo tu.🤣🤣🤣
Taratibu mkuu Mtamuua Kwa pressure
Nchimbi na Samia sijui wanatazamanaje?Ukijua jinsi ya kuishi na watu hutapata tabu,unayemuona adui yako anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwako, kuliko unayemuamini na unakula nae sahani moja anaweza kuwa adui yako mbaya sana, ndio kinachotokea sasa,
Na adui usiyemzania ni rahisi sana kukumaliza
Hili neno vijana wanajua kulitumia vizuriAfee tu, kifo ni kifo tu.
Nakufa uku bolo lipo Kwa mama Yako😁We ukatibiwe utakufa kabla ya uchaguzi mkuu
Ishu ya ugaidi wa mbowe ilikua kweli na walipanga hayo kutokea SEMA ushahidi wa kumtia hatiani ndio ulikosekana Kwa jamuhuri!Kwanza sikutaka kuamini kwamba Samia Suluhu Hassan angeweza kuwa ndiye aliyemzushia Mbowe tuhuma za UGAIDI; nilikataa kabisa kabisa, nikiamini kuwa huo ulikuwa ni mpango ulioachwa na Magufuli; kumbe huyu mama anao uwezo kamili wa kuwa shetani mwenyewe.
Kamdondosha Mbowe, na kumweka kwapani mwake akifikiri kwa njia hiyo angeimaliza CHADEMA!
Huyu ni mwanamke mwenye hila ovu, na kwa sasa ni wazi amekuwa ndiye KERO kubwa ya Muungano.
Huyu anaweza kusababisha waTanzania tuuane tusipokuwa waangalifu.
Una ushahidi ya unayo ya sema?Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.
Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.
Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.
By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.
Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
Hakika!Watu wenye akili kubwa ni maadui wa Samia
Una ushahidi ya unayo ya sema?
Maana Hakuna mwenye umaarufu ndani ya CCM zaidi ya samia.
Na kama wanataka kushinda basi tiket ni Samia tuu
Na bado, hadi aseme kubabekiSamia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.
Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.
Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.
By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.
Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
Alidhani akiwaambia wale kwa urefu kamba zao na wasile sana hadi wakavembewa basi atakubalika...Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.
Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.
Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.
By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.
Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
Do not forget to foremention your mother as stupid and hopeless woman!Hopeless Samia
Mbona mlishangilia kifo cha magufuli na hamkuguswa?Yule bibi ni kama mchawi. Huwezi kushangilia kifo Cha binadamu wenzako