Kwanza sikutaka kuamini kwamba Samia Suluhu Hassan angeweza kuwa ndiye aliyemzushia Mbowe tuhuma za UGAIDI; nilikataa kabisa kabisa, nikiamini kuwa huo ulikuwa ni mpango ulioachwa na Magufuli; kumbe huyu mama anao uwezo kamili wa kuwa shetani mwenyewe.Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges.
Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi.
Alishangilia kina Kigaila kumnanga Lissu Leo na yeye ananangwa na Wana CCm wenzake, vijijini na mijini watu wanajirekodi kuwa hawamtaki. Mwanachama mwenzake anataka kwenda mahakamani kupinga nomination yake.
By the way mbona siku hizi huonekani Mweshimiwa raisi wa viti maalumu.
Samia nakuuliza adui wako ni Tundu Lissu?
Kamdondosha Mbowe, na kumweka kwapani mwake akifikiri kwa njia hiyo angeimaliza CHADEMA!
Huyu ni mwanamke mwenye hila ovu, na kwa sasa ni wazi amekuwa ndiye KERO kubwa ya Muungano.
Huyu anaweza kusababisha waTanzania tuuane tusipokuwa waangalifu.