Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

Ukiskia hata mawe yataimba ndio hii,kila akinyamazishwa mmoja anainuka mwingine,maneno ndio silaha ya kipekee yanayofanya watu fulani wasilale usingizi.Hali ni tete naskia hapakaliki
 
Alionywa na Marehemu Mzee Ruksa kuwa adui yako siyo wapinzani bali adui yako ni wavaa kijani wenzako,yeye akachukulia poa sasa ndiyo yamemfika sasa.
 
Wewe ndiyo unijui mimi nipo jf masaa 24 waukize watu humu watakuambia ....kama unijui mimi basi wewe ni mgeni humu ..sikuizi sipigwi ban baada ya JF kuona kila nilicho sema ni sahihi ....nilikuwa naoigwa ban8 kila wiki
 
Ukijua jinsi ya kuishi na watu hutapata tabu,unayemuona adui yako anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwako, kuliko unayemuamini na unakula nae sahani moja anaweza kuwa adui yako mbaya sana, ndio kinachotokea sasa,
Na adui usiyemzania ni rahisi sana kukumaliza
 
Nchimbi na Samia sijui wanatazamanaje?
 
Ishu ya ugaidi wa mbowe ilikua kweli na walipanga hayo kutokea SEMA ushahidi wa kumtia hatiani ndio ulikosekana Kwa jamuhuri!

Inasemekana Kuna ki note kilionyesha walikua na mpango wa kulipua vituo vya mafuta kama wangeshindwa uchaguzi wa 2020!

Nilisona hayo humu jamvini,ni vile ushahidi haukutosha!

Pia waliamua kumtoa ili awasaidie kivingine hasa kipindi hiki japo imebuma!!

Nimeunganusha dots!
 
Una ushahidi ya unayo ya sema?

Maana Hakuna mwenye umaarufu ndani ya CCM zaidi ya samia.
Na kama wanataka kushinda basi tiket ni Samia tuu
 
Yule bibi ni kama mchawi. Huwezi kushangilia kifo Cha binadamu wenzako
 
Una ushahidi ya unayo ya sema?

Maana Hakuna mwenye umaarufu ndani ya CCM zaidi ya samia.
Na kama wanataka kushinda basi tiket ni Samia tuu

Hana huo umaarufu. Zaidi ya mapambio ya kusifiwa pasipostahili.
 
Na bado, hadi aseme kubabeki
 
Alidhani akiwaambia wale kwa urefu kamba zao na wasile sana hadi wakavembewa basi atakubalika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…