Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 yaan nikikuona tu namkumbuka Mwaj🥴....but I have got u Leader!😉There are many reasons to feel anxious about getting married, even when you’re in a healthy relationship.
Gamophobia is more than just being cautious or somewhat hesitant about making a big commitment. People who have this condition experience intense fear when faced with the reality or even sometimes just the thought of being in a committed relationship or marriage.
Umenijibu kwa hekima Sana..... Imebid nifute comment yng haikuwa nzuri!!!!!Sawa mkuu,asante sana
How is he supposed to earn it?It is.
Kuwa submissive inatuchukua nguvu kubwa mno ndani yetu, namaanisha ile kuwa submissive toka ndani kabisa.
Hasa kwa mwanamke wa umri wangu, pengine maisha yameshakuwa defined kiasi zaidi ya ukike wa asili ambao yes unahitaji mwanaume, huna sababu nyingine ambazo wengi zinawafanya wanakuwa submissive.
Kwa hiyo kiukweLI kabisa kabisa!
Inatugharimu, na gharama yake ni kubwa zaidi ya kusema ''Ndio Mume Wangu''
Sasa ili hii ndio mume wangu niipractise kwa uhalisia kwa kumaanisha kuna vitu vingi mno mno vinapaswa kuwa ok.
ili yes, nisema well shoulders down, laying powers and all.
Take the lead, bila kujutia bila kujihisi unyonge bila kuona unanyanyasika.
It is sexy being submissive to my man, BUUUUT he shuld earn i!
Hapo kwenye kuearn it ndo kuna KIMBEMBE!
Hakika mkuu,asante sana 🙏🏽Mfahamu, akufahamu vizuri na usiwe na haraka ya kuingia katika ndoa.
Uzuri wake umeshapitia mapito hayo na unafahamu tamu na shubiri ya ndoa mwanawani.
Angalia watoto wako Mungu aliokupa kwani hao ndio faraja yako.
Kama yeye ana watoto na wewe una watoto, basi muendelee kuishi kama marafiki, usije ukaingia kichwa kichwa na baadae ukaja jutia uamuzi wako.
Amiin🙏🏽Binadamu tunatofautiana, huenda ukapata mume bora kiadi ukajiuliza ulichelewa wapi na pia unaweza kupata mbaya kama wa mwanzo.
Ndoa ni jambo la mungu, lazima tuliendee kiungu, tumuombe mungu atupe watu wema wenye baraka na maisha yetu ya duniani na kesho ahera.
Pia tufate ushauri wake wa mtu gani anafaa kuingia nae kwenye ndoa
Pamoja na yote Imani yangu yote hapa jukwaani ni kuwa To yeye sio mwanamke ni mwanaume ambae ameamua kuvaa uhusika kama mwanamke,, Imani hii iko 90% it took me couple of months kufuatilia kuhusu hii kitu, na sijui tu ila naona pia ni one of the moderators, maana wewe anything unachoandika kinapewe airtime kubwa na visibility kubwa na constant frequency, anyway kuhusu visibility frequency na minutes on visible page iko kwa wengi ambao mods wanataka waoYeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Hapo nadhani tafsiri hujaiweka sawa mkuu. Afanyaye uasherati ni yule aendaye nje ya ndoa, ilhali yuko na ndoa.uasherati ni Kitendo cha kufanya tendo la NDOA nje ya utaratibu Yaani nje ya NDOA Kwaiyo aliposema isipokua kwa habari ya uasherati alimaanisha kwa watu ambao Bado hawajaunganishwa kwa NDOA takatifu mfano wa wachumba mmoja wao akitenda ngono hiyo ni halali kutengana Lakini sio kwa Wanandoa waliofunga NDOA takatifu
bila shaka amwone Liverpool Vpn na drone drake kuna ushauri mzuri kutoka kwao.Kwaiyo To yeye na Wewe umekua kataa ndoa wa kike[emoji4]