Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kama yupo na mmeelewana we olewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiisingizie ndoa bana. Watu ndio matapeli!Asee mi sijaoa nilizaa na binti bahati mbaya nikamkaribisha kwangu kutokana na aina ya maisha alokua nayo sijulikani hata kwao ila kwa haraka ndoa ni ngumu sana asee mliooa Mungu awabariki kwa navyopelekwa puta naona ndoa ni utapeli fulani
🙏🙏KABIIIIISA.
🙏🙏Amen na ikawe hivyo
Tuanzie hapa.Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Je sasa hivi mahusiano mapya bado unafosi kama yale ya awali?Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Dada mzuri binti kiziwi kampa ushauri mzuri.
Mbaya zaidi unakuta matoto yenyewe hayana heshima ,hayana shukurani ,manafiki, tabia mbovu nkKulea watoto wa mwanaume mwenzio inatakiwa uwe na roho ngumu na ustahimilivu, mimi ni lishindwa.
Hao ndugu sidhani kama ndio sababu ya nyie kutodumu , changamoto kama ulivyosema ilikuwa Kati yenu wawili, ndugu Wana mchango mdogo sana kwenye ustawi au anguko lenu, sehemu kubwa mlichangia wenyewe either kwa kujua au kutofahamuTuliiva ila ndugu hawakuiva hawakutaka Kabisa tuoane mkuu...tukaforce na ndoa ikafungwa
Kuna mdau ana uliza, mbona huzeeki🤓😀🏃🏃🏃🏃Dada mzuri binti kiziwi kampa ushauri mzuri.
Kwakuongezea tu...
Watu hawafanani! Kama wanapendana, na mahusiano yao na familia zao sio mabaya asijinyime raha kisa tu alipata bahati mbaya huko nyuma.
Olewa zako mwaya To yeye ufurahie maisha!
Nani huyo tena jamani???Kuna mdau ana uliza, mbona huzeeki🤓😀🏃🏃🏃🏃
Ni paka wangu🤓, mkorofi huyo!!.Nani huyo tena jamani???
Na nimemkosea nini mpaka atake nizeeke haraka haraka ??😄😄
💯Yaani ndugu anavunjaje ndoa ya watu wengine? Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kabisa.
Huenda huyo mumewe wa zamani hana misimamo thabiti badala yake ni mtu wa kusikiliza ndugu na kufanyia kazi maelekezo yao.
Yaani mpendane kabisa halafu eti ndugu wasababishe mpeane talaka?
Big NO. Hata nyie hamkuwa na upendo wa dhati ndiyo maana ndugu wakawasambaratisha kiwepesi.
Mfinye kidogo 😐Ni paka wangu🤓, mkorofi huyo!!.
ulishindwa nn wakat umesema pamoja na vikwazo vya ndgu bado mliamua kuoana kwa jns mlivokuwa mmeivana na kupendana, nani alibadilika, wewe au yeye? Na kwa nn?Niliposhindwa na kuanza kuomba talaka mkuu
Sitaki ugomvi nae, asije Akala mboga yangu ya jioni 🤓Mfinye kidogo 😐
Kama ni hivyo jitahidi u adjust kuendana na hiyo ndoa mpya.shida ni moja kubwa naiona kwako.Ni mtu mzuri na ni watu wazuri tu mkuu.Asante sana