Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Asee mi sijaoa nilizaa na binti bahati mbaya nikamkaribisha kwangu kutokana na aina ya maisha alokua nayo sijulikani hata kwao ila kwa haraka ndoa ni ngumu sana asee mliooa Mungu awabariki kwa navyopelekwa puta naona ndoa ni utapeli fulani
 
There are many reasons to feel anxious about getting married, even when you’re in a healthy relationship.
Gamophobia is more than just being cautious or somewhat hesitant about making a big commitment. People who have this condition experience intense fear when faced with the reality or even sometimes just the thought of being in a committed relationship or marriage.
 
🤣🤣🤣🤣 yaan nikikuona tu namkumbuka Mwaj🥴....but I have got u Leader!😉
 
How is he supposed to earn it?
 
Mfahamu, akufahamu vizuri na usiwe na haraka ya kuingia katika ndoa.

Uzuri wake umeshapitia mapito hayo na unafahamu tamu na shubiri ya ndoa mwanawani.

Angalia watoto wako Mungu aliokupa kwani hao ndio faraja yako.

Kama yeye ana watoto na wewe una watoto, basi muendelee kuishi kama marafiki, usije ukaingia kichwa kichwa na baadae ukaja jutia uamuzi wako.
 
Binadamu tunatofautiana, huenda ukapata mume bora kiadi ukajiuliza ulichelewa wapi na pia unaweza kupata mbaya kama wa mwanzo.

Ndoa ni jambo la mungu, lazima tuliendee kiungu, tumuombe mungu atupe watu wema wenye baraka na maisha yetu ya duniani na kesho ahera.
Pia tufate ushauri wake wa mtu gani anafaa kuingia nae kwenye ndoa
 
Hakika mkuu,asante sana 🙏🏽
 
Amiin🙏🏽
 
Mi sijaoa, kwahiyo sina utaalamu wa kukushauri ila naweza sema vitu vitatu.

1. Ndoa ni kama unaishi na rafiki/jamaa yako wa karibu. Mnashare kila kitu as friends + Sex & romantic moments.

2. Sasa mbali na sex & romantic izo mfano kissing hugs kuogeshana, muda mwingine mnafanya nini?

3. Kama sex & romantic tu ndio vinawaunganisha basi hampo tayari.

Kama nilivosema mimi sijaoa na wala sio mtaalamu, ila nimetumia busara tu alizotupatia Mwennyekiti Liverpool VPN na Msaidizi dronedrake
 
Pamoja na yote Imani yangu yote hapa jukwaani ni kuwa To yeye sio mwanamke ni mwanaume ambae ameamua kuvaa uhusika kama mwanamke,, Imani hii iko 90% it took me couple of months kufuatilia kuhusu hii kitu, na sijui tu ila naona pia ni one of the moderators, maana wewe anything unachoandika kinapewe airtime kubwa na visibility kubwa na constant frequency, anyway kuhusu visibility frequency na minutes on visible page iko kwa wengi ambao mods wanataka wao
 
Hapo nadhani tafsiri hujaiweka sawa mkuu. Afanyaye uasherati ni yule aendaye nje ya ndoa, ilhali yuko na ndoa.

Na hili ni swali aliulizwa Yesu juu ya maswala ya talaka na jinsi watu walivyoishi chini ya sheria za Musa.

Ukiangalia hapo, kiimani mtu anayetengana na mke au mume, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, naye akaenda kuolewa/kuoa na mtu mwingine, basi yule aoae au anayeolewa anafanya zinaa/kuzini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…