Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Ehe
 
Nikweli au ?!!!😳
 
Kuingia kwenye ndoa sikiliza sana moyo wako kuliko mtu yeyote. Ukiingia kwa pressure ya mtu wakati roho haipo tayari itakuwa ukiguswa kidogo tu unajuta. Roho ikiwa tayari hutojali chochote, madogo utayapuuzia makubwa utapambana nayo
 
Hakunaga uhakika wa kuoa/kuolewa na mtu sahii, skuhz watu Wana pretend sn[emoji4]
 
Hao ndo wateule wa Mungu au ni crossgender........kupenda na kuoa mwanamke mwenye ujauzito wa mtu mgine unahitajika roho mtakatifu kwa kweli.
 
Olewa na usiishi naye kwa kutest ishi kbsa real life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…