Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika stage ya kula Pilau la harusi, usisite kutupa mwaliko.........nitakuja na Kijiko changu kabisa 🤗Amina...Barikiwa sana mkuu...nimekuelewa
Kumbe hali hii ndiyo imetufanya wana JF wengi kutokukuelewa.Una mtihani wa kuuvuka.Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Cha pili afuate anachoona ni muhimu zaidi kwake.Cha Kwanza, Pole sn[emoji29]
Sana wanafuatilia kila kitu mnachofanyaNdugu ni tatizo sana mkuu
Asante sana kwa ushauriAm a scientist,naamini Kwa experiment!
"Anzeni kuishi pamoja Hadi miaka mitatu hadi minne!ili mzione nyufa za kujenga kati yenu!!
Kufunga ndoa hamjawahi ishi kinyumba hasa katika kipindi hiki ambacho Bikra za pande zote zilishaliwa na mchwa ni kujiandaa kufunga ndoa nyingine baada ya hii ya mwanzo kufeli!!
Mi naamini kuishi kwanza halafu taratibu ndoa ifuate sio ghafla bin vuu!!
Ukisha zaa au kuwa na watoto hutakiwi kuwa na hamu ya ndoa Bali kupata mwandani utakaemwamini wa kushirikiana magumu na mapito ya maisha coz unaweza fungal ndoa na mtu akawa sio mwandani wako yaani Kuna mapito au jambo fulani linalokutatiza huwezi mwambia!!
Muombe mungu akupatie wa aina hio sio wa kufunga nae ndoa TU ili uepe pressure ya ndugu na maoni ya kiroho!
Maoni ya kiroho katika ndoa tuliyonayo ni ya kufikirika TU!hayana uhalisia halisi,ndoa sio Ile unayofunga Bali maisha unayoishi na mtu Kila siku ndio ndoa halisi!
Msongo wa harusi,vyeti na maoni ya watu ndio chanzo Cha stress zinazobebwa na watu Kila siku!!!
Be a free man from this now,shinda dhana zote zinazo kufinyanga nafsini!!
Hongera mzee Kwa maneno ya busaraHaiwezekani iwe wanaume Tu ndo Wana shida ...na wewe je?
Umerekebisha kasoro zako?
Au bado unaamini " uko perfect" ?
Hukuwa na shida kabisa?...
Kasoro zako unazijua na umezifanyia kazi ...au ni mume na familia yake ndo Wana 'matatizo "wewe huna kabisa?
Sawa mkuu,asante kwa maoniYaani ndugu anavunjaje ndoa ya watu wengine? Hii kitu huwa nashindwa kuelewa kabisa.
Huenda huyo mumewe wa zamani hana misimamo thabiti badala yake ni mtu wa kusikiliza ndugu na kufanyia kazi maelekezo yao.
Yaani mpendane kabisa halafu eti ndugu wasababishe mpeane talaka?
Big NO. Hata nyie hamkuwa na upendo wa dhati ndiyo maana ndugu wakawasambaratisha kiwepesi.
Ahsante mkuu. Take it seriously kama huto jali.Asante sana mkuu,Barikiwa sana
Pole sana, hayanaga muongozo... Achana na hayo mambo, fanaya mambo mengine...si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....