Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

the thunderstom never strike twice at same place, olewa tu na huyo mchumba usiogope, we bado binti mbichi unastahili mume wa kufika uzeeni panapo majaaliwa, ni heshima kuwa na mume
 
Hatimaye Tena Na Tena, Wazee Wa KATAA NDOA, NDOA Ni UtumwA

Wanachukua Points Tatu Muhimu Sana Kwenye Msimamo Wa League
Home And Away Wanachukua Jumla Ya Points 6 Mtawalia!!
 
Maana chokochoko huanzia hapo.
Sio chokochoko kuvimbiana kunaanzia hapo Single mom's wengi kabla hujampenda yeye penda watoto wake ni Sawa na kuku mwenye vifaranga ukivamia vifaranga wake anakuparua na mchezo ndio umeishia hapo ukimwambia watoto peleka kwa baba zao hataki anataka Pesa za matunzo maana akipeleka watoto hatopata hata 100 kwa hio anakua amefanya kazi ya kuzaa bure hilo hua hawataki wanataka wazae kwa faida sio wanazaa bure
 
Za asubuhi mwanangu wa kiroho?naona unamwaga madini!hakika ndoa ni baraka kutoka Kwa Mungu naungana nawe kikubwa aingie na amani na imani
Namshukuru Mungu nina amani na kwakweli sijambo sana Mama yangu mpendwa sana Joannah

katika kushauriani na kuimarisha kimwili na kiroho, ni vizuri kupeana moyo kwa upendo lakini na zaidi sana kusemezana ukweli pia 🌹
 
Haiwezekani iwe wanaume Tu ndo Wana shida ...na wewe je?
Umerekebisha kasoro zako?
Au bado unaamini " uko perfect" ?
Hukuwa na shida kabisa?...
Kasoro zako unazijua na umezifanyia kazi ...au ni mume na familia yake ndo Wana 'matatizo "wewe huna kabisa?
Uzi unafaa uishie hapa then mleta mada ajitafakari sasa na kupata majibu
 
Some old wounds never truly heal, and bleed again at the slightest word.

The things we love destroy us every time, lad. Remember that. Game Of Thrones
 
Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu[emoji24]

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu[emoji1431]
Kimbia acha kabisa.
 
Achana nae huyo, njoo kwangu nikuoe mimi, huwa nataman sana kuoa mwanamke mwajiliwa, yan awe Mwalimu
 
Hapana Mkuu jaribu tena kutafakari vizuri tofauti kati ya uasherati na uzinzi

uasherati > ni kujamiiana kwa hiari kati ya watu ambao hawajaoana

uzinzi > kujamiiana kwa hiari kati ya mtua aliyeolewa na mpenzi mwingine ambaye si mwenzi wake wa halali

kwahiyo aliposema isipokua kwa Habari ya uasherati alimaanisha ni kwa wale ambao wapo katika mahusiano May be ya uchumba au urafiki ikitokea mmoja wapo ametenda zinaa basi hao ni halali kuachana

angesema isipokua kwa Habari ya uzinzi basi hapa ndipo tendo la NDOA nje ya NDOA ambao ndo huitwa uzinzi lingekua halali kupelekea NDOA kuvunjika

Kwaiyo katika Verse hi ya Mathayo 19:9 ni dhahiri YESU hakumaanisha wala hakutoa uhalali NDOA kuvunjika kwasababu ya uzinzi b'se NDOA kuvunjika haukua mpango wa MUNGU tangu mwanzo ndo ila musa alitoa hati ya taraka kipindi cha kale kwasababu ya ugumu wa mioyo uliokua NDANI ya watu wa wakati huo waliokua chini ya Sheria

UGUMU WA MIOYO ni hali ya kukosa Rehema Yaani kukosa moyo wa kusamehe au kupokea msamaha sasa hi hali ndio waliyokua nayo watu wa wakati huo na hata sasa ipooo ndo Maana NDOA nyingi zinavunjika kwasababu watu wanamioyo migumu kama jiwe hawawezi kusamehe wala kureceive msamaha

Hitimisho
HAKUNA SABABU YOYOTE WALA KOSA LOLOTE LILILO NA UHALALI WA KUVUNJA NDOA HAKUNAAAAAAAAAAA.........!

why this?

B'se hakuna kosa lisilosamehewa sisi Kwaiyo hata mme au mke akitokea ametoka nje ya NDOA samehe b'se sote sisi ni wakosaji na tulihesabiwa haki kwa Neema ya MUNGU Yaani tulisamehewa kwa Neema ya MUNGU kwa Njia ya mwanae KRISTO pale msalabani

Kwa Neema kwasababu hatukustahili kusamehewa ila kwa upendo wa MUNGU alitusamehe dhambi zetu zote

Jiulize kwanini wewe ushindwe kusamehe?😊

Hapo nadhani tafsiri hujaiweka sawa mkuu. Afanyaye uasherati ni yule aendaye nje ya ndoa, ilhali yuko na ndoa.

Na hili ni swali aliulizwa Yesu juu ya maswala ya talaka na jinsi watu walivyoishi chini ya sheria za Musa.

Ukiangalia hapo, kiimani mtu anayetengana na mke au mume, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, naye akaenda kuolewa/kuoa na mtu mwingine, basi yule aoae au anayeolewa anafanya zinaa/kuzini.
 
Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Maadamu unao uke,uke unahitaji CHAKULA chake ambacho NI uume ndugu.Kulea watoto NI sawa lakini njaa ikiuma ya uke unafanyaje??
Sasa kila ikifika saa Tisa ya usiku vua nguo zako uwe uchi Kama ulivyozaliwa Anza kumuomba Mungu,mwambie uliniumba Niwe na mwenzangu.Huu mwili una mahitaji take,hitaji lake ni Adamu.Nakuomba unipe Adamu sahihi wa maisha yangu,Mimi kukutenda dhambi Mungu nashindwa.siku 30,lete mrejesho.
Usisahau sadaka ya shukrani kuitoa.
 
Kaa na Kaka yako, yes KAKA yako, Sikiliza ushauri wake.

Kaa na Mama yako, sikiliza ushauri wake.

Kaa na Baba yako msikilize.

YAPIME YOTE, KISHA FANYA MAAMUZI.

NOTE! WAHENGA HUSEMA INACHUKUA MASIKA MBILI KUMJUA MTU. NEVER RUSH INTO MARRIAGE.
 
Amina 🙏🏽
 
Asante sana mkuu🙏🏽 Nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom