Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chokochoko kuvimbiana kunaanzia hapo Single mom's wengi kabla hujampenda yeye penda watoto wake ni Sawa na kuku mwenye vifaranga ukivamia vifaranga wake anakuparua na mchezo ndio umeishia hapo ukimwambia watoto peleka kwa baba zao hataki anataka Pesa za matunzo maana akipeleka watoto hatopata hata 100 kwa hio anakua amefanya kazi ya kuzaa bure hilo hua hawataki wanataka wazae kwa faida sio wanazaa bureMaana chokochoko huanzia hapo.
Namshukuru Mungu nina amani na kwakweli sijambo sana Mama yangu mpendwa sana JoannahZa asubuhi mwanangu wa kiroho?naona unamwaga madini!hakika ndoa ni baraka kutoka Kwa Mungu naungana nawe kikubwa aingie na amani na imani
umeshamuweka wazi kuwa una watoto, na hao watoto wanakaa kwa nani kwa sasa? Suala la kuwa na watoto mchumba kalichukuliaje? Je na yeye ana watoto/mtoto? Kuna mtu kakupa ushauri usije ukafanywa kitega uchumi, moyo wa mtu kichaka mama.Sikuzote sipo nao
Uzi unafaa uishie hapa then mleta mada ajitafakari sasa na kupata majibuHaiwezekani iwe wanaume Tu ndo Wana shida ...na wewe je?
Umerekebisha kasoro zako?
Au bado unaamini " uko perfect" ?
Hukuwa na shida kabisa?...
Kasoro zako unazijua na umezifanyia kazi ...au ni mume na familia yake ndo Wana 'matatizo "wewe huna kabisa?
Kimbia acha kabisa.Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu[emoji24]
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu[emoji1431]
Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu[emoji24]
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu[emoji1431]
Hapo nadhani tafsiri hujaiweka sawa mkuu. Afanyaye uasherati ni yule aendaye nje ya ndoa, ilhali yuko na ndoa.
Na hili ni swali aliulizwa Yesu juu ya maswala ya talaka na jinsi watu walivyoishi chini ya sheria za Musa.
Ukiangalia hapo, kiimani mtu anayetengana na mke au mume, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, naye akaenda kuolewa/kuoa na mtu mwingine, basi yule aoae au anayeolewa anafanya zinaa/kuzini.
Maadamu unao uke,uke unahitaji CHAKULA chake ambacho NI uume ndugu.Kulea watoto NI sawa lakini njaa ikiuma ya uke unafanyaje??Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Amina 🙏🏽Maadamu unao uke,uke unahitaji CHAKULA chake ambacho NI uume ndugu.Kulea watoto NI sawa lakini njaa ikiuma ya uke unafanyaje??
Sasa kila ikifika saa Tisa ya usiku vua nguo zako uwe uchi Kama ulivyozaliwa Anza kumuomba Mungu,mwambie uliniumba Niwe na mwenzangu.Huu mwili una mahitaji take,hitaji lake ni Adamu.Nakuomba unipe Adamu sahihi wa maisha yangu,Mimi kukutenda dhambi Mungu nashindwa.siku 30,lete mrejesho.
Usisahau sadaka ya shukrani kuitoa.
Asante sana mkuu🙏🏽 Nitafanya hivyoKaa na Kaka yako, yes KAKA yako, Sikiliza ushauri wake.
Kaa na Mama yako, sikiliza ushauri wake.
Kaa na Baba yako msikilize.
YAPIME YOTE, KISHA FANYA MAAMUZI.
NOTE! WAHENGA HUSEMA INACHUKUA MASIKA MBILI KUMJUA MTU. NEVER RUSH INTO MARRIAGE.