donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hako ni moja ya ka investment kangu mjini hapa, yaan ninauwezo wa kutoa amri uwe unakula bure anything you want ukiwa makumbusho kituoni. Hvi vitu mbona vidogo sana kwa mtu kama Lucchese? Hebu kwanza angalia simu yako kama ina chaji ya kutosha maana miamala yangu mara nyingi hupelekea simu za watu kuzima ghafla ni kama zinapata partial paralysis vile, maana miamala inaanzia alama za mkato tatu namaannisha sifuri kuanzia tisahahhaha hebu acha bas kunichekesha hahha !hapana siifaham !we ukoo wenu ni famous sana ! nahakika siku ujtaamka muamala wa haja ! lol
We jamaa nakuomba upambane na hali yako rafadahalHako ni moja ya ka investment kangu mjini hapa, yaan ninauwezo wa kutoa amri uwe unakula bure anything you want ukiwa makumbusho kituoni. Hvi vitu mbona vidogo sana kwa mtu kama Lucchese? Hebu kwanza angalia simu yako kama ina chaji ya kutosha maana miamala yangu mara nyingi hupelekea simu za watu kuzima ghafla ni kama zinapata partial paralysis vile, maana miamala inaanzia alama za mkato tatu namaannisha sifuri kuanzia tisa
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe mbona unachekea wanaume hovyo hovyohahhaha hebu acha bas kunichekesha hahha !hapana siifaham !we ukoo wenu ni famous sana ! nahakika siku ujtaamka muamala wa haja ! lol
Tambua anayependa ni mmoja lakin wanaotaman ni weng shaur yako we endeleahahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Mkuu kupata bahat ya kuchat na manz wangu isiwe sababu ya kuanza kujifanya una mapene sana ukijifanya we mtoto wa panya bas mimi nitakuonesha jinsi nilivyo mtoto panya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka leo bila bila? Tehahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
Kuolewa kazi shoga! Fata masharti...hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Takwenya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani the issue hapa sio kuchekea chekea wanaume hovyo bali ni unajaribu kuchekea wanaume unaohisi wanapesa ndefu,hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Iiiko watoto haijambo?Takwenya!
Hawajambo wako poaIiiko watoto haijambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3]hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Hahah, mkuu lakini shimo la panya halizibwi kwa kipande cha mkateMkuu kupata bahat ya kuchat na manz wangu isiwe sababu ya kuanza kujifanya una mapene sana ukijifanya we mtoto wa panya bas mimi nitakuonesha jinsi nilivyo mtoto panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na wasiwasi mama, kwanza kabla ya yote hebu kula li dedication kwanza. Sikiliza kwa umakini then tutaongea uzuri. Upo?hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!