Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

hahhaha hebu acha bas kunichekesha hahha !hapana siifaham !we ukoo wenu ni famous sana ! nahakika siku ujtaamka muamala wa haja ! lol
Hako ni moja ya ka investment kangu mjini hapa, yaan ninauwezo wa kutoa amri uwe unakula bure anything you want ukiwa makumbusho kituoni. Hvi vitu mbona vidogo sana kwa mtu kama Lucchese? Hebu kwanza angalia simu yako kama ina chaji ya kutosha maana miamala yangu mara nyingi hupelekea simu za watu kuzima ghafla ni kama zinapata partial paralysis vile, maana miamala inaanzia alama za mkato tatu namaannisha sifuri kuanzia tisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nakuomba upambane na hali yako rafadahal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
Mpaka leo bila bila? Teh
 
hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Nadhani the issue hapa sio kuchekea chekea wanaume hovyo bali ni unajaribu kuchekea wanaume unaohisi wanapesa ndefu,
Mi nadhani mkae muongee na shemej ajitahidi kukutumia pesa mara kwa mara ili hako kaugonjwa cha kuchekelea pesa za watu uache faster,
Mwambie Shem hizo I love you so much ziambatane na mihamala ya tigopesa /mpesa
 
hahaha mume sijui kuwa serious dah mie jaman 90%huwa nina utani ! jaman am sorry! very sorry ! dah dalili za kumkosa mume naziona hapa demi ,Neybright niombeen msamha kwa nanyupu !sikawii kutemwa jaman!na ww donlucchese acha vishawishi aisee !tena shetan akukemee!
Usiwe na wasiwasi mama, kwanza kabla ya yote hebu kula li dedication kwanza. Sikiliza kwa umakini then tutaongea uzuri. Upo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom