donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hako ni moja ya ka investment kangu mjini hapa, yaan ninauwezo wa kutoa amri uwe unakula bure anything you want ukiwa makumbusho kituoni. Hvi vitu mbona vidogo sana kwa mtu kama Lucchese? Hebu kwanza angalia simu yako kama ina chaji ya kutosha maana miamala yangu mara nyingi hupelekea simu za watu kuzima ghafla ni kama zinapata partial paralysis vile, maana miamala inaanzia alama za mkato tatu namaannisha sifuri kuanzia tisahahhaha hebu acha bas kunichekesha hahha !hapana siifaham !we ukoo wenu ni famous sana ! nahakika siku ujtaamka muamala wa haja ! lol
Sent using Jamii Forums mobile app