Utakuwa hujui Ebay ndio The Mother of Online Auction coupling it with Paypal it was an original idea lets give credit where credits due....
Amazon kwa kuanza kufanya online bookshop na kuwashinda even biggest brick and mortal publishers / bookshops it was original as well na kuwekeza kwenye wharehouse hubs amekuwa the biggest online retailer
Nothing new kwa alibaba ila uwezo wake wa ku-capitalize soko la watu wengi huko kwao kwenye suppliers wengi amefanikiwa
Kupiga pesa haimaanishi kwamba wewe idea yako ni nzuri au ulikuwa wa kwanza..., kulikuwa na myspace before facebook; Yahoo before Google ila huenda Yahoo sasa hivi hapigi pesa sana na inabidi abadilishe business Model; competition can kill you anytime.., having an idea, implementing the idea na staying afloat are three different ball games (kwa ushauri kama ukianzisha kitu kikiwa kizuri uzia big giants chukua pesa yako sababu hujui kuhusu kesho huenda ulichoanzisha kikawa hakina tena nguvu)
Uber ndio the Mother of Commissions Rides, coupling it with technology na connecting wahitaji (customers) na watoa huduma (drivers)
Hio ni copycat na inapiga pesa kwenye niche market
Kwahio the moral of the story mwisho wa siku ni business acumen..., unaweza ukawa na idea ambayo sio nzuri sana kama nyingine lakini your marketing prowess ikakufanya ufanikiwe kuliko mwenye a better app....
Pili unaweza kitu kilekile ukakicustomize kwa soko linalokuzunguka mfano ingawa ebay ni worldwide lakini ukafungua ya Tanzania na kama utapata watu wengi Tanzania watu watakupa pesa au hata kununua idea yako sio sababu ya idea ni nzuri bali wale watu wengi ulionao... (in the end its all about number of users)
Kina Tigo came after Mpesa lakini haizuii Tigo kumzidi Mpesa