Hivi unaonge nini hapa na unajibu nini ? Aliyesema kwamba watu wanaoanzisha vitu lazima wawe na mtaji / capital ya wazee wao ni nani
Na issue za wewe kuishi marekani na wazungu hapa zinahusiana vipi na huu mjadala ?, mbona tunataka kurefusha mjadala na kuongelea vitu visivyo na mantiki
Aliyesema kila mtu lazima aweze ni nani ? Mimi mwenyewe nimesema hata ukiwa na idea nzuri kiasi gani huenda usiweze wala google / FB hawakuwa pioneers Search Engines zilikuwepo tangia kitambo na Business Models za FB na Google zilikuwepo kabla ila zilikosa ingredient fulani...., when it comes to business there is more than just a product; marketing na giant backup inahitajika pia as well as right technology at the right time...
Sasa kati yangu mimi na wewe nani yupo delusional unadhani aliyegundua light bulb ndio necessarily aliyepata credit au kunufaika nayo ? Dunia ina mamilioni ya watu wenye ideas ambao hawakufanikiwa au ideas zao kuwanufaisha wengine..., na dunia ina matrillioni ya watu ambao hawakuwa na idea zozote lakini wakaboresha kilichopo au kutumia kilichopo kulingana na mazingira na kunufaika...
Haya mambo ya kudhani kila mtu ni innovator au innovation zinatokea kila siku ni kuwa mtu wa nadharia....., Giants wengi na corporations nyingi ndio maana zina vitengo vya research and development au kuwekeza kwenye mashule na universities na ku-pump pesa za kutosha na kila idea ambao huenda ikawa nzuri / au isiwe nzuri kuiwekea patents for future use...., In short when it comes to ideas kuwa nayo pekee / au kuwa nzuri sio necessarily kwamba itatoboa