Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
- Thread starter
- #61
Mwalimu wake wa chuo kikuu alimwambia tokea mwanzo Hiko kitu hakiwezekan Ila alichofanya aliwekeza sana kwenye PR akasahau njia ya mwongo ni fupiholmes alizingua, nilisoma kitabu kinaitwa THE BAD BLOOD kimeelezea tangu alivyoanzsha thelanos sielew kwann watu wengi waliingia kichwakichwa but ndio dunia ilivyo though still startups zitaendelea kuwepo na zngne zitatoboa