holmes alizingua, nilisoma kitabu kinaitwa THE BAD BLOOD kimeelezea tangu alivyoanzsha thelanos sielew kwann watu wengi waliingia kichwakichwa but ndio dunia ilivyo though still startups zitaendelea kuwepo na zngne zitatoboa
sijui alidhan kuwa angewafool watu hadi lini, ila mi bado silew ilikuwaje aliweza kufika mbali vile bila kustukiwa kuna kpnd startup ilikuwa valued at 30bln USD Huku akiwa na watu km kina kissinger kwe board