Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Namsindikizaje kazini wakati namie ni mfanya kazi? Mi sio mama wa nyumbani....
Hapo kwenye chakula akipendacho wala hanaga labda suprise ya bia ndo itamfurahisha food sio priority kwake
Hebu toa mfano wa anacho kulalamikia.....!
Wala mtoto hajabadili kitu kila mtu anapata anachostahili kabisa tena kwa mapenzi yote yupo serious sio joke
 
Umemdekeza sana!

Anadhani wewe ni ----- kwa kuyafanya hayo yote, so anatest zari au anatafutia sababu ya hata akienda kula kwa watu (akibadili mboga) ionekane wewe ndiyo chanzo.

Anza kumkazia taratibu baadhi ya vitu.

Akibadili mboga ni uamuzi wake tu wala sihusiki kwa namna yoyote ile am playing my part effectively japo sio Malaika nna mapungufu pia
 
Kuna baadhi ya wanaume wameumbwa na gubu la kulalamika yaani jinsi wasemavyo kuna wakati kwenye mapenzi tunadekeana basi kwa hawa deko lao ni lawama even though hawamaanishi lawama kwani ukiwauliza kistaarabu hawana sababu za msingi.... Rafiki your doing best kwani every man anategemea kupata lau nusu ya unayofanya kwa wife material wake....

Mwanamme mlalamiki anatokana na maisha yafuatayo; wa kwanza au mwisho kuzaliwa na kupewa priority kutokana na nafasi yake, mtoto pekee wa kiume, kalelewa na mama peke yake, kalelewa na bibi, alibaguliwa na wazazi mara baada ya kuzaliwa mfano wazazi wana watoto 2 wa kiume hivyo wa 3 walitegemea jike then anatokea kidume hivyo wanamkataa kinafsi hiyo inachangia hii hali, kudekezwa kutokana na wazazi kutojua malezi na hili ni tatizo kwa wazazi wengi...., kulea watoto kwa upendeleo nako kunazalisha hii hali...hasa yule anayehisi kutopendelewa
 

Mpendwa asikuambie mtu kwenye relation ukisikia tu habari za kupeana space tafuta pa kujiweka or join chama la mabachala hakunaga space kwenye mapenzi hayo ni matayarisho ya kuachana
 
Ni kweli mwanaume ni kama mtoto usichoke kufanya tena zaidi.
 

Mi nlikua nawacheki tu we na BADILI TABIA mnavodiss ila nikafata ile principle ya za kuambiwa, nkajisemea akaa mi nafanya yangu hapo utakuta mnadiss kumbe maji mnapeleka kisha mnawabeba kuwapeleka kuoga na huenda mnawaogesha pia.....mi maji nachemsha na bafuni napeleka hiyo ni ratiba ya kila siku lol
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt unasema unalalamikiwa lakini hujaeleza ni nini hasa unacholalamikiwa. Pengine ungesema unalalamikiwa nini maybe ningejua namna ya kukusaidia.

Hata mi siambiwi specific ni nini kwakweli, ndo maana tu nmejaribu atleast kaeleza naishije ili nyie mnaotaka kufanyiwa mazuri na kipi tena kinamiss hapo
 
Last edited by a moderator:

Kwakweli kwa maisha haya basi kuwa mwanaume ni raha, mie sijui haya maraha ntapewa na nani au tumeumbwa kutoa tu maraha?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Mm napita tu naelekea mochwari
 
Treat your hubby like a small kid.
Ukifanikiwa kwa hilo, utakua umemaliza aiseee....
 
Mwimbiage na kuchikuchi hotae siku moja moja shemeji yetu ikiwezekana chora na tattoo kabisa!
 
Hebu toa mfano wa anacho kulalamikia.....!

Ha ha ha loya nshatoa mfano mmoja naogopa kuongea sana nisijevuka mipaka lol
Okay kingine ambacho nabaki mdomo wazi ye anapenda sana kuwa bize na simu kwangu sio ishu, nipo nae but very bize whatsapp na jf... Mi nikishika simu Oooh analalamika nashinda jf nashinda instagram ha ha ha ha nicheke kama mazuri, juzi nite tulikua somewhere akawa anapiga story na watu story ambazo Sina ideas so I decided kuchukua simu nicheki cheki jf nkashangaa anatuma msg unaniboa sana kuwa bize na simu lol wakati ol the time ye kashika simu yupo bize teh
 

Neno kulalamikiwa maana yake itaambatana na malalamishi mhusika utaja malalamishi mfano chumba kichafu nk sasa jibu jepesi ni kutendea kazi yanayo lalamikiwa kama yana msingi sio yote ya msingi , unafanya kazi nzuri kwa maelezo yako shida nyingine rikizo uongeza upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…