Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
hahahah kuna dereva taxi huwa ana msemo kuwa walewale hata ufanyie nini hawana shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh.....badili gia angani Mwl....
Hata mi siambiwi specific ni nini kwakweli, ndo maana tu nmejaribu atleast kaeleza naishije ili nyie mnaotaka kufanyiwa mazuri na kipi tena kinamiss hapo
Hahaha maana niliwazapo na hapo teh. Hivi kumbe team kulia lia tupo wengi mwee
May the defendant rise please?
On a serious note; Kimsingi mnachukuliana poa. Peaneni muda tu ili kila mtu aone umuhimu wa mwenzake. You know the saying "if you love someone/something...". We never realize how really good we got it, til we no longer have it.
Kuna baadhi ya wanaume wameumbwa na gubu la kulalamika yaani jinsi wasemavyo kuna wakati kwenye mapenzi tunadekeana basi kwa hawa deko lao ni lawama even though hawamaanishi lawama kwani ukiwauliza kistaarabu hawana sababu za msingi.... Rafiki your doing best kwani every man anategemea kupata lau nusu ya unayofanya kwa wife material wake....
Mwanamme mlalamiki anatokana na maisha yafuatayo; wa kwanza au mwisho kuzaliwa na kupewa priority kutokana na nafasi yake, mtoto pekee wa kiume, kalelewa na mama peke yake, kalelewa na bibi, alibaguliwa na wazazi mara baada ya kuzaliwa mfano wazazi wana watoto 2 wa kiume hivyo wa 3 walitegemea jike then anatokea kidume hivyo wanamkataa kinafsi hiyo inachangia hii hali, kudekezwa kutokana na wazazi kutojua malezi na hili ni tatizo kwa wazazi wengi...., kulea watoto kwa upendeleo nako kunazalisha hii hali...hasa yule anayehisi kutopendelewa
Young Master msome hapo chiniBasi kama hajawahi kukwambia ni vyema ukatafuta siku ukamkalisha chini kwa upole na unyenyekevu umuulize ni mapungufu gani ambayo anayaona kwako au ni tabia au matendo gani ambayo hayapendi kutoka kwako. Nina uhakika ukifanya hivyo atakusikiliza, atakueleza mapungufu yako na utaweza kujirekebisha au kufanya kile ambacho anatamani umfanyie.
Ha ha ha loya nshatoa mfano mmoja naogopa kuongea sana nisijevuka mipaka lol
Okay kingine ambacho nabaki mdomo wazi ye anapenda sana kuwa bize na simu kwangu sio ishu, nipo nae but very bize whatsapp na jf... Mi nikishika simu Oooh analalamika nashinda jf nashinda instagram ha ha ha ha nicheke kama mazuri, juzi nite tulikua somewhere akawa anapiga story na watu story ambazo Sina ideas so I decided kuchukua simu nicheki cheki jf nkashangaa anatuma msg unaniboa sana kuwa bize na simu lol wakati ol the time ye kashika simu yupo bize teh
Ha ha ha loya nshatoa mfano mmoja naogopa kuongea sana nisijevuka mipaka lol
Okay kingine ambacho nabaki mdomo wazi ye anapenda sana kuwa bize na simu kwangu sio ishu, nipo nae but very bize whatsapp na jf... Mi nikishika simu Oooh analalamika nashinda jf nashinda instagram ha ha ha ha nicheke kama mazuri, juzi nite tulikua somewhere akawa anapiga story na watu story ambazo Sina ideas so I decided kuchukua simu nicheki cheki jf nkashangaa anatuma msg unaniboa sana kuwa bize na simu lol wakati ol the time ye kashika simu yupo bize teh
Treat your hubby like a small kid.
Ukifanikiwa kwa hilo, utakua umemaliza aiseee....
Vitu vidogo ndo vipi mfano? Hapo kwenye kufanya mapenzi tumebakiza tu kufanyia ndani ya friji.....
Yup! The downside of that is, you pay twice when she's gone. Been down that road not once, not twice.Some brothers are so so lucky!
Teh gelofriend bila shaka hata ye ukimuuliza anaweza kua hajui may be nikupe kamfano kadunchu jana mchana mida ya kula nimemnawisha mikono nikampakulia akaanza kula mara kidume cha mbegu kinazunguka pale (our son) nikamchukua kumlisha daddy kamaliza kula mie namlisha mtoto akaanza kunawa mwenyewe eeh nkashangaa analalamika kuwa anajinawisha mwenyewe simhudumii au nlitakiwa nimuache kidume cha mbegu nimnawishe? Maisha ni magumu mweh.... Kuna vitu vidunchu ila vinaumizaga kichwa unaweza hata usilale unakiwaza tu japo kidogo
Hahaha gelofriend nimecheka huku hadi nimeshtua watu na sauti langu baya.
Hakuna kitu kizuri kama kujitambua unataka nini, hutokaa uyumbishwe na misimamo ya watu wa humu. Kuna watu kila kitu hawafanyi while in reality wanafanya hadi na nyongeza. Na kuna wengine hawafanyi kweli na mambo yako poa. Ila wewe usipofanya habari itakuwa nyingine kabisaaa, zubeda litakufata nyuma. Be you, do you coz hata tukijifanya kukushangaa kwani tunakupunguzia nini. Ahsante kwa kitchen party ya leo looh
Mpendwa naona umenichoka hebu niombee usinifanyie hivoBasi jaribu kubadilisha mbinu. Usipike, usifue, usimeze *clears throat*, kuwa gogo ukilala. Halafu uone. Asipoongea, then fanya maamuzi magumu au vumilia tu sasa.
Vitu vidogo ndo vipi mfano? Hapo kwenye kufanya mapenzi tumebakiza tu kufanyia ndani ya friji.....
usiwe kama yule jamaa wa kwenye biblia alimfuata yesu na kumwambia afanyeje aweze kuurithi ufalme wa mbingu yesu akamuuliza unatoa zaka, unashika sheria za torati na unafanya yoote mungu anayokutaka ufanye?...jamaa akaijibu ndio rabii kila kitu nafanya....yesu akamaliza mchezo kwa kumwambia "nenda kauze kila ulichonacho kisha unifuate"...jamaa akashindwa mchezo na kiaina akaupoteza ufalme wa mbingu...
back to your topic......umefanya vyooooote kwa mmeo. sasa nami nakupa moja tuu la kufanya ili uuteke moyo wa mumeo mpendwa.
KUTOKANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA UTANDAWAZI.....MPE MMEO MTANDAO PENDWA WA WAZEE NA VIJANA NA AMINI UTAKUWA USHAUTEKA MOYO WAKE WOTE.
Kwakweli kwenye team mi ntakua mweka hazina cheo cha uenyekiti nimekikosa siku hizi nimepunguza,zamani nlikua nalia hadi nkajihisi nna asili ya India nini lol
Usichoke kujirekebisha hata kwa hayo unayo yaona ni madogo na hayana msingi! Usilalamike kulalamikiwa,Usimuoneshe madai au malalamiko yake hayana msingi..! Jirekebishe kwenye hayo hayo madogo! Anza na kutokutumia simu mkiwa pamoja(kuchart)Ha ha ha mwaka mbaya kuanzia serikali hadi nyumbani lol hebu huu mwaka upite pambaff kabisa
Naogopa chopa itaniangusha