Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #81
Mmmh! Mm napita tu naelekea mochwari
Kapumzike kwa Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh! Mm napita tu naelekea mochwari
Space muhimu. Mi tumekuwa Maza anatupigia story kuwa kuna kipindi alikuwa anahisi M'dingi anamchukulia poa, basi anamtishia kuwa anataka kurudi kwao kupumzika, na mtu mzima anamuambia nenda. Baada ya wiki kadhaa anamfuata. 26+ years, and them old folks are going stronger. Space heals most of the time.Paulo jamani, space Watu wapo kwenye ndoa? Mie bf tu aniambie mambo ya space kwa kweli bora anisahau tu.
Hawa watu wanahitajiana sana, pamoja na malalamiko yote haya, gelofriend still anamuhitaji mumewe ujue, vivyo hivyo na shemeji. Ndo maana ES anajitahidi kutafuta mzizi wa tatizo lilipo ili wasolve waendelee kuenjoy paradiso yao. Kupeana space ingekuwa sawa kama wangekuwa wamechokana labda. Ili mtu ukajipange upya urudi kuwa kama the girl he fell In love with miaka hiyoo. ES is still the Es he fell in love with miaka hiyo, ndo maana haelewi tatizo ni nini. Hata wakipeana hiyo space ( sishauri kabisa) still watarudiana tu afu hayo malalamiko yatakuwepo tu vile vile
Labda kikubwa zaidi, waongee tu kwa nukta. Shem aelezee anataka awe treated vipi labda. Inawezekana shem hana tu ile roho ya kuridhika. Sasa shughuli itabaki kwa ES kuamua if anaweza akavumilia tu hiyo weakness ya mwenzie au atajua mwenyewe abebe vipi hilo jaribu lake. Ndo mumewe huyo na Inawezekana pungufu lake ni hilo tu, kwengine kote yupo mwaaaaah
Shemeji ajifunze ku- appreciate juhudi zako aisee... kama uliyoyaandije ndiyo hali halisi unajituma sana. Hebu zungumzeni mvunje ukimya
Hahaha gelofriend nimecheka huku hadi nimeshtua watu na sauti langu baya.Mi nlikua nawacheki tu we na BADILI TABIA mnavodiss ila nikafata ile principle ya za kuambiwa, nkajisemea akaa mi nafanya yangu hapo utakuta mnadiss kumbe maji mnapeleka kisha mnawabeba kuwapeleka kuoga na huenda mnawaogesha pia.....mi maji nachemsha na bafuni napeleka hiyo ni ratiba ya kila siku lol
Sasa analalamika nini tena jamani. Na huko kulalamika ni tangu kwenye uchumba au kaanza lini? Ni bora mtu aseme tatizo ni A, B, C utajua ujirekebishe vipi. Hakuna kitu kinaumiza kama mtu unajitahidi kufanya kila unachoweza ili mwenzio afurahi, but yeye haridhiki wala kuappreciate. Ni kazi sana kumridhisha binadamu asiye na moyo wa kuridhika. Gelofriend labda tumuombee
Basi jaribu kubadilisha mbinu. Usipike, usifue, usimeze *clears throat*, kuwa gogo ukilala. Halafu uone. Asipoongea, then fanya maamuzi magumu au vumilia tu sasa.Mpendwa asikuambie mtu kwenye relation ukisikia tu habari za kupeana space tafuta pa kujiweka or join chama la mabachala hakunaga space kwenye mapenzi hayo ni matayarisho ya kuachana
If it worked for your parents, doesn't guarantee kwamba na kwa ES itafanya kazi effectively. Aisee watafute tu alternative nyingine, mambo ya space sio kwa kizazi hiki kabisa.Space muhimu. Mi tumekuwa Maza anatupigia story kuwa kuna kipindi alikuwa anahisi M'dingi anamchukulia poa, basi anamtishia kuwa anataka kurudi kwao kupumzika, na mtu mzima anamuambia nenda. Baada ya wiki kadhaa anamfuata. 26+ years, and them old folks are going stronger. Space heals most of the time.
Kama nini vile hebu nisaidie
Mi nlikua nawacheki tu we na BADILI TABIA mnavodiss ila nikafata ile principle ya za kuambiwa, nkajisemea akaa mi nafanya yangu hapo utakuta mnadiss kumbe maji mnapeleka kisha mnawabeba kuwapeleka kuoga na huenda mnawaogesha pia.....mi maji nachemsha na bafuni napeleka hiyo ni ratiba ya kila siku lol
Pole sana Kamanda kwakweli mwaka huu si mzuri kabisa...!Kwakweli kwa maisha haya basi kuwa mwanaume ni raha, mie sijui haya maraha ntapewa na nani au tumeumbwa kutoa tu maraha?
Kwakweli kwa maisha haya basi kuwa mwanaume ni raha, mie sijui haya maraha ntapewa na nani au tumeumbwa kutoa tu maraha?
muulize anza leo
Ok jaribu kufanya apendavyo mkiwa wote jaribu kutokuwa busy na simu au uweke simu pembeni ...! Pengine ina furahisha sana ukiwa na mtu kama mnapiga story na yeye ana changia kidogo hata kwa kuuliza maswali! Pengine tatizo sio kuchat labda ni kuto kuonesha uko pamoja nae kwenye yale maongezi!Ha ha ha loya nshatoa mfano mmoja naogopa kuongea sana nisijevuka mipaka lol
Okay kingine ambacho nabaki mdomo wazi ye anapenda sana kuwa bize na simu kwangu sio ishu, nipo nae but very bize whatsapp na jf... Mi nikishika simu Oooh analalamika nashinda jf nashinda instagram ha ha ha ha nicheke kama mazuri, juzi nite tulikua somewhere akawa anapiga story na watu story ambazo Sina ideas so I decided kuchukua simu nicheki cheki jf nkashangaa anatuma msg unaniboa sana kuwa bize na simu lol wakati ol the time ye kashika simu yupo bize teh
Pia na yeye ana wajibu wa kukusaidia malezi.
Wanaume wakumbuke hata wao sio wakamilifu ila wake zao wanayakubali yake mapungufu. Na haswa kama una mtoto mdogo jamani shemeji aelewe na kuvumilia.
Mwanaume Mwenye Uhitaji na Uthamini wa Hisia katika kupenda Haangalii kipi unakifanya kwake hata kama wewe utaona ndio utendaji wako wa mwisho.. Mwanaume anahitaji Zaidi ya Chukula, mapenzi na Kufuliwa. Heshima tu haiwezi kukufanya uwe mke bora Ikiwa kuna Vidogovidogo ambayo humfanyii au Huvifanyii.. Cha kufanya ni kuwa Huru kwake kwa kuwa tayari ni Mtu wako.. Muulize kipi unachokosea kwake ukiona Hana Jibu jaribu kumbadilishia mazingira ya Kimchezo kwa kutoka nje ya nyumba kwenda kwenye hoteli au lodg na kama siku ukipata nafasi na utulivu hata kama ni bafuni au jikoni unaweza kumaliza nae kwa kuwa kila kitendo kigeni utakachomfanyia kitapunguza lile gubu lako.. mwanaume ni Zaidi ya chakula, heshima na kufuliwa Ubunifu ni wajibu wako dada
Pole sana Kamanda kwakweli mwaka huu si mzuri kabisa...!