Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #121
vifanyie kazi hivyo anavyokulalamikia. Tena umepata mtu mzuri anayelalamika kwa hiyo ana communicate asichopenda na anachotaka afanyie. Sijui tatizo liko wapi Evelyn Salt kama mtu anaongea na wewe fanyia kazi anayoyalalamikia. Pia hizo kanuni zako ulizotoa za food, sex and space hebu achana nazo mapenzi hayana formula yoyote kwenye sehemu ya upendo onesha upendo kwenye sehemu ya kumliwaza mliwaze kwenye hitaji la ushauri mshauri, kwenye haja ya kumwombea mwombee akiwa na furaha furahi nae na akiwa na huzuni kuwa mfariji wake na akiwa na machozi kuwa mfutaji wa machozi yake na anaposhindwa kusimama mwenyewe simama nae
Ndoa ni kujitoa kila mmoja kwa mwenzake hamna kanuni
Fd hizo sio kanuni lakini ni vitu vya muhimu mtu anahitaji namie nahakikisha navitoa ipasavyo ndo maana sijastand katika hayo tu, thanks
Last edited by a moderator: