Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #141
mke na mume wanaoishi nyumba moja kufikia hatua ya kununiana kwako hilo ni tatizo jepesi?
Heee we vepe kununiana kuna raha mwisho wa mnuno ni nini kama sio kugegedana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mke na mume wanaoishi nyumba moja kufikia hatua ya kununiana kwako hilo ni tatizo jepesi?
Ila Mpendwa hauko fair. Huwa mara kadhaa unawashauri wenzio humu wawe rebels, kumbe uki-log off una-switch to wife material. Wanaokusikiliza wanabaki kutema sumu tu kila post.Amina mpendwa
Hivi umewahi kujua nini hasa anataka? Inawezekena unafanya kila kitu from your point of view ila bado yapo mambo muhimu zaidi kwake ambayo huyafanyi.
Mfano kwangu mimi si lazima sana kufuliwa na bibie (akiwepo) na kupikiwa sio ishu sana maana mi mwenyewe napika. Nathamini sana usafi hadi nadhani nakera na kingine ni space, a lot of space, yes a lot of space
Ila Mpendwa hauko fair. Huwa mara kadhaa unawashauri wenzio humu wawe rebels, kumbe uki-log off una-switch to wife material. Wanaokusikiliza wanabaki kutema sumu tu kila post.
Nnaomba niseme jambo katika hili, na sifungamani na upande wowote....ila wanawake inapotokea umepata watoto upendo hugawanyika, simaanishi kwamba humpendi mumeo lakini ile kuonekana kama upo bize sana na mtoto hiyo inakela kwa mwanamume! Mie nakumbuka kuwa nilikaa vema tu na mamito wangu na mambo yalikuwa poa sana, ila nilijiona kikalagosi baada ya kupata hao viumbe wapya ndani! Yaani anaweza akaamka mapema sana tu akaanza majukumu yake, maji ya kuoga napata, nguo zinaweza zikanyoshwa au zisinyoshwe, chai niakaanza kusahau kunywa nyumbani...hotelini pakanihusu( na bahati mbaya sipendi vya hotelini) chakula nacho kinaenda katika mpangilio wake yeye anavyojiskia sio ule wa awali. Niwe muwazi kwangu yalikuwa maisha mapya tena! Wife ni mpole na mwelewa lakini katika hili alishindwa kufanya maamuzi! Tuligombezana hapa na pale....lakini mwisho wa siku ikabidi nileendeshe gari mlama and lafu, tumeenda katika speed ya 320 kwa muda wa kutosha more than miaka miwili....ndipo nikaanza kuona yanajiweka sawa...huku na mie nikiwa nimejiongeza kwa baadhi ya mambo na yeye pia...na sasa tupo shwari! But amini kwamba malalamiko yapo tu kila leo....kesho mnacheka na maisha yanaenda! Na kweli hakika nampenda mke wangu!
hapo ndipo ninapopendaga mimi lakini mimi napenda Akilia Chozi la Raha Sio chozi la karaha.. Mwanamke Chozi lake linathamani kubwa kuliacha litoke pasipo sababu ni kuidhulum nafsi yake. Vunja Ukimya Mficha Uchi? Utamaliza Mwenyewe
Wamekusikia bila shaka. Kila la kheri Mpendwa. Utatupa mrejesho.Ha ha ha mpendwa hapa ni story za kijiweni tu ukizichukulia serious utajimurder lol
Tubarikiwe sote sist, nimefurahi kama umepata japo ujumbe wa kuutuliza moyo wako... Usibadilishe hayo uyatendayo kwani lawama zitazaa ugomvi. Keep it up nadhani unakumbuka ushauri wangu kwa MrKaka angu hapa kama vile nmeanza kupata picha halisi sasa, katika kulalamika nikimuuliza hana sababu ya msingi, pia ni first born.... Kuna vitu umeongea hapa vina ka ukweli fulani Oooh so natakiwa tu kuona ndivo alivo ehuuuuuu atleast hata nmejua pa kuanzia ubarikiwe bro angu
Lucky me! Pamoja na kupata mtoto mapenzi yangu hayajapungua kwa mme, nipo kama nilivokua kabla ya ujio wa mtoto
Sijasoma maoni yote ya wadau so naweza kuwa narudia waliyoshauri wengine...
kuna kitu kimoja ambacho nakiona ni muhimu sana wanawake wakijue..
'do not change yourself to please him'
usibadilishe 'personality' yako saaana just tu kumfurahisha mume..
atashindwa 'kukusoma'.......na mtashindwa kujenga bond na compatibility inayotakiwa
Sasa labda kama unayoyafanya yoote 'yamekubadili' personality...
alijua ana mwanamke 'chui' ndani..na wewe umeanza ku act kama 'swala'
hizo complains zinakuja sababu ya 'kukosekana' kwa 'the real you'
Sometimes huwa unakuwa na mtu na still unam miss.......
watu hupenda 'the good and bad side' za mtu...
hahahahaha eti tumebakiza kufanyia ndani ya friji!!!!! Dah umenifanya nimecheka mpaka wife to be kazani nimekuwa kichaa... Vitu vidogo ni Kama kusikia kile anachokwambia na kutekeleza. Binafsi Huwa sipendi ninapokua na Mtu wangu awe busy na Simu hasa Kipindi ambacho tunatakiwa kujadili kile Cha msingi na Hata kwenye Suala la kutafuta mtoto. Ingawa Wote ni Member wa humu lakini huwa tunapeana muda maalum wa kuwa na Simu zetu so inawezekana wewe unashindwa kua wa Aina Hiyo
Hapana nakugawa bure, bado wapi tu hahahaVitu vidogo ndo vipi mfano? Hapo kwenye kufanya mapenzi tumebakiza tu kufanyia ndani ya friji.....
Unaona busara zako zilivyokosekana hapa.
Yaani umeongea jambo la msingi.
Wanawake wengi wanabadilika kumplease mwanaume...... na mwanaume humkosa mwanamke aliyefall in love with.....
Asante.....
Ngoja nimrudishe bandidu wangu (badiki tabia bandidu)
Hapa Evelyn Salt akijichunguze....inawezekana source ya malalamiko iko hapa