Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

hahahah kuna dereva taxi huwa ana msemo kuwa walewale hata ufanyie nini hawana shukrani
 
Hata mi siambiwi specific ni nini kwakweli, ndo maana tu nmejaribu atleast kaeleza naishije ili nyie mnaotaka kufanyiwa mazuri na kipi tena kinamiss hapo

Basi kama hajawahi kukwambia ni vyema ukatafuta siku ukamkalisha chini kwa upole na unyenyekevu umuulize ni mapungufu gani ambayo anayaona kwako au ni tabia au matendo gani ambayo hayapendi kutoka kwako. Nina uhakika ukifanya hivyo atakusikiliza, atakueleza mapungufu yako na utaweza kujirekebisha au kufanya kile ambacho anatamani umfanyie.
 
Hahaha maana niliwazapo na hapo teh. Hivi kumbe team kulia lia tupo wengi mwee

Kwakweli kwenye team mi ntakua mweka hazina cheo cha uenyekiti nimekikosa siku hizi nimepunguza,zamani nlikua nalia hadi nkajihisi nna asili ya India nini lol
 

Some brothers are so so lucky!
 

Kaka angu hapa kama vile nmeanza kupata picha halisi sasa, katika kulalamika nikimuuliza hana sababu ya msingi, pia ni first born.... Kuna vitu umeongea hapa vina ka ukweli fulani Oooh so natakiwa tu kuona ndivo alivo ehuuuuuu atleast hata nmejua pa kuanzia ubarikiwe bro angu
 
Young Master msome hapo chini

 
Last edited by a moderator:
Vitu vidogo ndo vipi mfano? Hapo kwenye kufanya mapenzi tumebakiza tu kufanyia ndani ya friji.....

Hahahhahahhahahahahahhaaaaaaaa!
Hongera mwaya........nimekupenda buree kabisaaaaa.
...........wanawake wote wamefanya vyema lakini wewe umewapita wooteeee...........
 
Some brothers are so so lucky!
Yup! The downside of that is, you pay twice when she's gone. Been down that road not once, not twice.

But sometimes these Mamas are confusing us. I just told my Chic that I love her, and she got concerned that I sound emotional. I said alright, I'll go Macho from now on.
 

Nnaomba niseme jambo katika hili, na sifungamani na upande wowote....ila wanawake inapotokea umepata watoto upendo hugawanyika, simaanishi kwamba humpendi mumeo lakini ile kuonekana kama upo bize sana na mtoto hiyo inakela kwa mwanamume! Mie nakumbuka kuwa nilikaa vema tu na mamito wangu na mambo yalikuwa poa sana, ila nilijiona kikalagosi baada ya kupata hao viumbe wapya ndani! Yaani anaweza akaamka mapema sana tu akaanza majukumu yake, maji ya kuoga napata, nguo zinaweza zikanyoshwa au zisinyoshwe, chai niakaanza kusahau kunywa nyumbani...hotelini pakanihusu( na bahati mbaya sipendi vya hotelini) chakula nacho kinaenda katika mpangilio wake yeye anavyojiskia sio ule wa awali. Niwe muwazi kwangu yalikuwa maisha mapya tena! Wife ni mpole na mwelewa lakini katika hili alishindwa kufanya maamuzi! Tuligombezana hapa na pale....lakini mwisho wa siku ikabidi nileendeshe gari mlama and lafu, tumeenda katika speed ya 320 kwa muda wa kutosha more than miaka miwili....ndipo nikaanza kuona yanajiweka sawa...huku na mie nikiwa nimejiongeza kwa baadhi ya mambo na yeye pia...na sasa tupo shwari! But amini kwamba malalamiko yapo tu kila leo....kesho mnacheka na maisha yanaenda! Na kweli hakika nampenda mke wangu!
 

Aaah gelofriend mi najua hapa ni kijiweni tu story za hapa zinabaki hapa tukirudi ndani tunakua watu wengine kabisa lol hapa ni "za kuambiwa changanya na zako"
 
Basi jaribu kubadilisha mbinu. Usipike, usifue, usimeze *clears throat*, kuwa gogo ukilala. Halafu uone. Asipoongea, then fanya maamuzi magumu au vumilia tu sasa.
Mpendwa naona umenichoka hebu niombee usinifanyie hivo
 
Vitu vidogo ndo vipi mfano? Hapo kwenye kufanya mapenzi tumebakiza tu kufanyia ndani ya friji.....

hahahahaha eti tumebakiza kufanyia ndani ya friji!!!!! Dah umenifanya nimecheka mpaka wife to be kazani nimekuwa kichaa... Vitu vidogo ni Kama kusikia kile anachokwambia na kutekeleza. Binafsi Huwa sipendi ninapokua na Mtu wangu awe busy na Simu hasa Kipindi ambacho tunatakiwa kujadili kile Cha msingi na Hata kwenye Suala la kutafuta mtoto. Ingawa Wote ni Member wa humu lakini huwa tunapeana muda maalum wa kuwa na Simu zetu so inawezekana wewe unashindwa kua wa Aina Hiyo
 

Umeanza na story ya Mungu unamalizia na story ya kufir* ptyuuuuu am smart enough kutumia akili zangu za kiuanamke kuwin someone's heart kuliko kutumia tigo...wapo watumia tigo ila sio mie
 
Kwakweli kwenye team mi ntakua mweka hazina cheo cha uenyekiti nimekikosa siku hizi nimepunguza,zamani nlikua nalia hadi nkajihisi nna asili ya India nini lol

hapo ndipo ninapopendaga mimi lakini mimi napenda Akilia Chozi la Raha Sio chozi la karaha.. Mwanamke Chozi lake linathamani kubwa kuliacha litoke pasipo sababu ni kuidhulum nafsi yake. Vunja Ukimya Mficha Uchi? Utamaliza Mwenyewe
 
Ha ha ha mwaka mbaya kuanzia serikali hadi nyumbani lol hebu huu mwaka upite pambaff kabisa
Usichoke kujirekebisha hata kwa hayo unayo yaona ni madogo na hayana msingi! Usilalamike kulalamikiwa,Usimuoneshe madai au malalamiko yake hayana msingi..! Jirekebishe kwenye hayo hayo madogo! Anza na kutokutumia simu mkiwa pamoja(kuchart)

Usichoke maana usitegemee kuna siku utamridhisha 100% na haitotokea!
Hayo madai yake yachukulie makubwa sana na aone kweli umemuelewa!

Kuna wakati unaweza kuwa na mtu ukashindwa kupata mapungufu yake kwa haraka sasa unaweza kuleta madai yasiyo na msingi kujua mapungufu yake....!Pengine kutokubali kutokukubaliana ndio tatizo lako...!
Accept defeat hata mara moja..
Naogopa chopa itaniangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…