Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?


Fd hizo sio kanuni lakini ni vitu vya muhimu mtu anahitaji namie nahakikisha navitoa ipasavyo ndo maana sijastand katika hayo tu, thanks
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha mme na mtoto wangu wote ni wa muhimu sana kwangu ila mmh mme ana special treatment zake, anapata mapenzi ya mke mwanangu nae anapata mapenzi ya mama....kuoga tunaoga wote karibu kila siku hata kama tumechuniana bafuni tunaenda wote hivo hivo kimya kimya
 

kumbe kuna mazito lakini hutaki kusema ili ushauriwe
 

Binafsi huwa sipendi niwe na mtu afu niko bize na simu inakeraga sana nnachokifanya mi huwa nashika simu nikiona ye yuko bize na yake hapigi story na mie ndo nami nashika yangu na kuget bize
 
Hatoi majibu ya kueleweka akijitahidi sana atasema "nitakuambia tu" nshamuuliza mara kibao
 
kumbe kuna mazito lakini hutaki kusema ili ushauriwe

Mazito yapi tena mmh hayo mazito unataka kuniletea wewe mie Sina mazito kuzinguana ni kitu cha kawaida tu na ni viugonvi visivo na kichwa wala miguu ambavo sio ishu wala
 
Hahahhahahhahahahahahhaaaaaaaa!
Hongera mwaya........nimekupenda buree kabisaaaaa.
...........wanawake wote wamefanya vyema lakini wewe umewapita wooteeee...........
Ha ha ha mmh
 
Hatoi majibu ya kueleweka akijitahidi sana atasema "nitakuambia tu" nshamuuliza mara kibao

Basi huyo ana lake jambo. Pengine amegundua kuwa unampenda, unamheshimu na kumsikiliza sana ndo maana anakufanyia hivyo. Kama ukikosea kweli akakueleza na wewe ukagundua kuwa umekosea kweli msikilize ila kama ni hizo tuhuma zake za kipuuzi zisizo na msingi zipotezee na uendelee kufanya mambo yanakupa furaha kwa sababu wakati mwingine ukiendekeza watu kama hawa unaweza kujikuta unakosa furaha na amani katika maisha yako kwa kusikiliza na kufuata vitu visivyokuwa na msingi.
 
Hivi umewahi kujua nini hasa anataka? Inawezekena unafanya kila kitu from your point of view ila bado yapo mambo muhimu zaidi kwake ambayo huyafanyi.

Mfano kwangu mimi si lazima sana kufuliwa na bibie (akiwepo) na kupikiwa sio ishu sana maana mi mwenyewe napika. Nathamini sana usafi hadi nadhani nakera na kingine ni space, a lot of space, yes a lot of space
 
Mazito yapi tena mmh hayo mazito unataka kuniletea wewe mie Sina mazito kuzinguana ni kitu cha kawaida tu na ni viugonvi visivo na kichwa wala miguu ambavo sio ishu wala

mke na mume wanaoishi nyumba moja kufikia hatua ya kununiana kwako hilo ni tatizo jepesi?
 
Duh sasa kama hapa am doing nothing natakiwa kuishi vipi labda???

Pengine huna cha zaidi cha kufanya,smtimes ni Mungu tu hajawapangia nyie wawili japo mpo wote bado.Nakumbuka kuna mkaka mmoja alikua anakaa na binti ambae alikua anamfanyia kila kitu ila baadae akaja kuoa mwanamke ambae hakuwai kumfulia hata nguo na walikua wanakutana tu restaurant.Sisemi kua story yako ndo kama hii bt nimeelezea tu.Maisha ni matamu sana pale unapoelewa kua kila kitu kinapangwa na Mungu utabaki na maswali bt kamwe hautoumia,tumtegemee Mungu zaidi na tuache kutumia akili zetu tutaishia kuumiza vichwa.
 

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…