Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?


Ha ha ha nicheke kama mazuri, I guess hata nyie hamjielewi mnataka nini....huyu mpendwa wangu hapendi kula ila nisipopika atalalamika ni heri nipike chakula kikae afu kiharibike nikimwage kuliko kuacha kupika kwake ni afadhali nipike nikimwage ila sio kuacha kupika
 
Evelyn Salt mpendwa umenisupriz..Sikujua kama unajua kupetipeti hivi...
Huyo mume umeshamlemaza kwa mahaba..Cha msingi jaribu kufanyia kazi malalamiko yake kama yako ndani ya uwezo wako

Na ukiona kitu anacholalamika hakina msingi wowote usimzarau wala kukaa kimya..Jaribu kumuelewesha kwa upole..Hope yale maneno yako ya hapa jamvini huyatumii huko ndoani
 
Last edited by a moderator:

Lucky me! Pamoja na kupata mtoto mapenzi yangu hayajapungua kwa mme, nipo kama nilivokua kabla ya ujio wa mtoto
 
hapo ndipo ninapopendaga mimi lakini mimi napenda Akilia Chozi la Raha Sio chozi la karaha.. Mwanamke Chozi lake linathamani kubwa kuliacha litoke pasipo sababu ni kuidhulum nafsi yake. Vunja Ukimya Mficha Uchi? Utamaliza Mwenyewe

Mficha uchi atakiona cha moto kutoka kwa nesi....
 
Nakupa hongea sana kwa jitihada zako
Wewe nakuweka group ya "Mke mwema"

Naona kama mmeo ana umri mdogo? au pengine uwezo wake wa kuchanganua mambo hauko sawa?
 
Tubarikiwe sote sist, nimefurahi kama umepata japo ujumbe wa kuutuliza moyo wako... Usibadilishe hayo uyatendayo kwani lawama zitazaa ugomvi. Keep it up nadhani unakumbuka ushauri wangu kwa Mr
 
Unajiachaga sana kwenye kuropoka humu jamvin,kumbe wewe ni bonge la wife.relax and enjoy maisha sisi wanaume tunapenda kudeka na nikawaida yetu kutaka visivyoo onekana
 
Lucky me! Pamoja na kupata mtoto mapenzi yangu hayajapungua kwa mme, nipo kama nilivokua kabla ya ujio wa mtoto

Basi atakuwa ni dictator.....maana hawezi kuwa yupo busy na simu yake halafu wewe kuwa busy ionekane ni kosa! Eti anapiga stori na washkaji, stori zenyewe ni zile ambazo haupo na uelewa nazo halafu unaamua kujifariji kwa kutumia katelephone halafu anakubana...kweli huyu analojambo! But kila jambo lina mlango...maana kaa ukijua kuwa shida sio shida ila njia utakayoitumia kutatua shinda ndio shida yenyewe.
 
Sikutegemea Kma Hili Lingekua Tatizo Kwako, Then Umejuaje Kma Kwel Upo Vizur Mambo Uliyoyataja?? Alafu Naona Kma Sumtime Huwa Unajisahau Kwa Kuona Kuwa Unamfanyia Mambo Mengi Tofaut Na Wanawake Wengne...So Ni Kma Kuna Muda Unalegeza. Mfano Mimi Hivyo Vitu Nilikua Nafanyiwa Nikiwa Chuo Kwa Upande Wako Unaona Unamfanyia Mambo Makubwa Sanaa Wakat Upande Mwingne Ni Ya Kawaida Sanaaa Kwa Wapenzj Wanaopendana Real...Stor Yako Inaonyesha Kma Saikolojia Yako Inakudanganya That Unafanya Mambo Makubwa But Bado Haridhiki!! Kuna Muda Huwa Unajisahau Kwa Advantage Ya Hayo Unayomfanyia Ukiyaona Ni Ya Kipekee. Unachotakiwa Ni Kubuni Vingine Vizur Zaidiiii. Na Wale Usiseme Wengne Hawafny Hiv Mimi Nafanya!! Na Inaonekana Umemzoesha So Unapositisha Kimojawapo Anahisi Kma Umebadilika. Ongeza Manjonjo Bwana Aujafika Mwisho Ndio Kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] !!
 
Sijasoma maoni yote ya wadau so naweza kuwa narudia waliyoshauri wengine...

kuna kitu kimoja ambacho nakiona ni muhimu sana wanawake wakijue..
'do not change yourself to please him'

usibadilishe 'personality' yako saaana just tu kumfurahisha mume..

atashindwa 'kukusoma'.......na mtashindwa kujenga bond na compatibility inayotakiwa

Sasa labda kama unayoyafanya yoote 'yamekubadili' personality...
alijua ana mwanamke 'chui' ndani..na wewe umeanza ku act kama 'swala'
hizo complains zinakuja sababu ya 'kukosekana' kwa 'the real you'

Sometimes huwa unakuwa na mtu na still unam miss.......
watu hupenda 'the good and bad side' za mtu...
 
Unaona busara zako zilivyokosekana hapa.

Yaani umeongea jambo la msingi.

Wanawake wengi wanabadilika kumplease mwanaume...... na mwanaume humkosa mwanamke aliyefall in love with.....

Asante.....

Ngoja nimrudishe bandidu wangu (badiki tabia bandidu)

Hapa Evelyn Salt akijichunguze....inawezekana source ya malalamiko iko hapa


 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama ni kweli hii stori, kwa level ya uelewa wako na character. Ungekua mshamba ningekubali au kabila fulani hivi sawa na mumeo. au kaka huyo ni mshamba fulani hivi una mkaanga na kumlia timing. BTW sijatumia neno ushamba kama kukutukana.
Hata age difference.....huyo kaka labda yeye 75 wewe below 35 bado sidhani kama unafanya hivyo....labda wewe uwe mkubwa sana kwa mwanaume like 50+ huyo kaka below 30.....otherwise nimeyameona haya kwa mama yangu mkubwa...yeye na mumewe 71 kwa 75 respectively.
 

Nna discipline sana na simu sio tu kwake kwa mtu yeyote siwezi kuwa naongea na mtu huku nipo bize na simu, labda kama sitaki kuongea na mtu huyo ndo ntakuwa bize ili aniache
 



Ubandidu huleta u sexy fulani
unafanya mtu anakuwa addicted na real you ambayo haipati kwa mwingine
na ile hofu ya kukupoteza inajitokeza...but ukiwa mama theresa unakuwa so predictable..
mtu anajiuliza why huyu ana act hivi?au kuna dhambi anaifanya?au yuko desperate kuwa na mimi?
au ni kimeo hiki kinajilazimisha kwangu? but ukiwa real you....ile sexiness inamvuta kila mtu...
'ndo mnaajaziana kila kwenye mapungufu' kila mtu anaziba ya mwenzie....
 
Ongeza surprise...na ubunifu... Kwenye 6x6 uko uwe porn star kabisaaa...leo mpake nutella, kesho mpake asali 😂😂...Lainisha kauli..., mpe attention, bembelezaaaa.. Endelea kuwa Mama Lowassa, mume atakuganda kama wino wa NEC. 👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…