Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

Unatuchamba😁😁😁
 

Wewe ni mbinafsi sana mpaka kinyaa yaan
 
Wazinzi wote Mungu atawahukumu adhabu
 
"Uliyemzalisha" Amekuwa, ng'ombe?
Au, uliyempa ujauzito na kujifungua,
Kwa lugha yako isiyo na staha, we ilibidi Uwe jera, wemekuona pimbi ndio maana, wanakulazimisha
 
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
Wakati unafanya nae uzinzi mbona hukufikiria haya?

Sijui una umri gani ila vijana kama nyinyi mnakera sana.

Huwa najiskia vibaya sana kuona mwanamke anakuwa kwenye mahusiano yasiyo na malengo ila kwakuwa nao wameamua iwe hivyo basi na iwe hivyo tu mpaka watakapo jitambua na kuijua thamani yao.

Muhimu: Na nyie wanawake muwe mnaangalia na wanaume wa kuwa nao siyo mnachanua tu.
 
Una akili wewe ?! Ni jukumu lako kuhudumia mama na mtoto.Unaleta kiumbe duniani halafu unaruka ruka .Kiazi wewe.Hata kama hutamuoa hudumia wote .Tena kama una mshahara unatakiwa ukatwe asilimia 40 direct ziende kwa mtoto .Punguwani wewe.Kama jendawazimu tu.
 
mshikaji wangu- anakushikia nini au anakushika wapi? ama ndio msetomseto
Vijana wa namna hii ni hasara mnakimbilia mambo ya kikubwa halafu majukumu hamyawezi. Baadae utakuja kuomba ushauri namna ya kumpata mwanao.
Kwa kifupi huyo binti ni mkeo na mtoto ni wako maamuzi ni yako kama unataka kuwatelekeza.
 
Muoe huyo binti... mzigo umekula vizuri na kumzalisha juu... unataka nani akulelee mwanao sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…