Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
🤒🐸👈 lea mjombaaa.
 
Kwanini usiongee na wazazi wako wamchukue huyo mtoto,umejaribu kufikiria huyo binti anakwenda wapi na hicho kiumbe kisicho na hatia? kwao kafukuzwa na wewe umemkataa unajua ana Hali gani sasa Hivi? Kwanini unakua na roho ngumu Hivi?
 
Moja ya mawazo ya ovyo kabisa haya kutoka kwa kijana wa ovyo.

Hivi kwa mfano; umeenda kuiba baada ya kuiba umebeba ulichoiba na kuanza kuondoka ile unafika geti la mwisho utoke ndani unakuta limefungwa na jamaa wananoa mapanga kwa nje huko.

Kwa kuwa una simu unaomba msaada kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki walio mbali.

Nini unategemea hapo?.

Hicho ulichofanya ni tayari umepanda mbegu ambayo itakuja kuota huko mbele, usije kuraumu binti yako au damu yako yoyote kwa tukio lolote litakaloendana na hiki ulichofanya.

Mara nyingi dhambi upatilizwa hata kizazi cha tatu na cha nne kutoka kwako, so we noted this from you!
.
 
Ksbb ulikuwa una Uhusiano nae maana yake umempenda.

Sana sana fikiria mateso atakayopitia huyo binti. Kutoka kumdanganya danganya oooh...! Nakupenda sana Hakuna mwingine duniani. Hata likitokea lolote niko tayari kulibeba. Mwenzio akakuamini 💯

Haya mimba hadi mtoto huyo. Mrudishe tu ukae,anza nae maisha kama ulivyoanza nae.
Ndio mnapataga mikosi ya kudumu maisha yako yote. Ksbb huyo binti maumivu anayopitia lazima na wewe uyapitie hapa hapa duniani.
Vinginevyo muoea tu.

Nenda tu kwao kajitambulishe ndio wewe mhusika. Ngoja ukajipange utaleta mahali. Kiasi kidogo tu cha kujitambulishia laki 2,laki 3 tu.
 
alafu mkija huku mnatukana single Moms mliowalaghai wenyewe.

Mkija huku mnasema feminists ndo wanaongoza kwa kuwa single mothers😏 sasa huyo angekua anajielewa na yuko kazini angekua anaburuzwa hivyo? Men are so selfish ndo maana nawachamba humu jf
Tatizo mnaingia kwenye mahusiano na mashorobaro na wa hit and run.
Mwanamke huwa anampenda mwanaume ambaye hayupo serious naye shida inaanzia hapo.
 
KIJANA USIKUBALI KUOA... Lea damu yako waache wazazi wake walee dam yao pia.

Hakuna shiria Tz inayomlazimisha mtu kuoa... Timiza wajibu wako kwa mwanao tu.

Kwanza S. 9 ya Sheria ya Ndoa mpaka hapo washaivunja kwa kukulazimisha.

KATAA NDOA
 
Tumia njia ambayo hitokusabishia maumivu na kumsababishia mtu mwingine maumivu.

Kama kwao amefukuzwa mpokee umlee huyo mtoto na umuhudumie huyo mwanamke .

Karma haitokuacha salama mkuu ukijifanya mtu hatari.
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
Ulipokuwa una mchurururu! Ulitagemea nini,wewe unadhani ilikuwa mic test au
 
KWA MUHTASARI (No Judgement)
Kijana anayefanya ngono zembe amemkana rafiki yake wa kike (girlfriend) na mtoto wake wenyewe, hana rafiki mwenye akili timamu, anaulizia sheria za nchi baada ya kuanza kulea mtoto wake.
 
Kuoa ni hiari mkuu wala usijistukie kabisa, ila kikitokea kiumbe we hudumia tu
Kimetokea kidume copy copy na mm. Na nimekuwa nahudumia tangu day one. Tatizo wazazi wake wanaforce nimuoe.
 
Naona wengi wanamsema sana huyu jamaa.

Hivi mwanamke naye alitegemea nini kutombwa kavu na mtu ambaye siyo mume wake?

Huyu kijana ni mjinga lakini umalaya umemponza huyo binti.

Wadada tombaneni na waume zenu la sivyo mtaishia kuwa single maza

Au mnafikiri mwanaume akikuzalisha ndio atakuoa?
Asante kwa kunipatia japo nusu ya utetezi. Wengine wananioaani kana kwamba nimebaka.
 
Jamaa alifanya unyama mkubwa sana hapa ni afadhari angelala sebureni amwache binti na mtoto walale chumbani mpaka asubuhi, kwa usiku mmoja tu wala asingezulika na chochote.
Kuna watu wana roho ngumu sana na wabinafsi,wanaangalia tu nafsi zao bila kuangalia machungu ya wengine
 
Asante kwa kunipatia japo nusu ya utetezi. Wengine wananioaani kana kwamba nimebaka.
Usioe mwanamke kwa kumwonea huruma eti kwa sababu umezaa naye. Usithubutu mdogo wangu utajuta, hilo la kwanza.

La pili, pima DNA kama mtoto ni wako mhudumie ila huyo single maza sio jukumu lako kumhudumia sio mkeo
 
alafu mkija huku mnatukana single Moms mliowalaghai wenyewe.

Mkija huku mnasema feminists ndo wanaongoza kwa kuwa single mothers😏 sasa huyo angekua anajielewa na yuko kazini angekua anaburuzwa hivyo? Men are so selfish ndo maana nawachamba humu jf
Na hao wote waliomsema huyu dogo huko juu ni wanawake wenzio?
Kwamba all men are selfish ndo maana unamalizia hasira zako humu jf?
 
Ninyi ndio mnafanya wanaume tuonekane wapumbavu
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
Usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio vp ungekuta ni binti yako kafanyiwa hivyo ungejisikiaje
 
Back
Top Bottom