Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

Kama ,
Narudia kama huyo Binti umetembea nae kweli na kumpa huo ujauzito,
Basi mchukue kaa nae
Najua kwasasa hujajipanga labda,

Mchukue (Kubali)
Then nenda kwao ukajitambulishe na kuomba msamaha,
Then waombe umhudumie mtoto wao akiwa hapo huku unajitafuta,
Ukishindwa sana mpeleke kwa mama yako.
Lakini usikatae mtoto huo ni ujinga wa mwisho
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
Hayo maswali unayouliza saivi ungejiuliza kabla hujampa ujauzito yote haya yasingetokea, usikimbie kitu ulichosababisha mwenyewe data utaratibu umwoe ikishindikana mhudumie uyo mtoto wako asipe shida mbeleni, Ni hayo tu.
 
Kwa io mtoto wako ukamlaza kwa mjumbe? Jamaa una moyo mgumu sijui wa kiasi Gani
 
We jamaa ni fala sana yani eti nimshtaki baba yake kwa usumbufu kweni wewe haujamsumbua baba yake kwa kumtia mimba binti yake?
 
wakati unasexika nae kwanini hukujiuliza hayo maswali yote?

Ngoje wakuroge vizuri ukojoe kwa kutumia mdomo ndio akili itakaa sawa.

endelea kuneng'eneka hapo pumbvu zako
 
Sasa we unapiga mzigo unamwagia na ndani ulikuwa unawaza nini? Ulikuwa unamuuliza mwenzio kama yupo sawa?

Acha ujinga kumtesa mwenzako, huyo ni mtoto wako, kipindi anakuja geto unampelekea moto hadi unapigiamo na bao ulikua hufahamu kama ikitokea akafariki ukiwa nae geto itakuwaje, ila baada ya kuzaa ndipo akili imekuja eti vipi akifia kwako...

Laana zingine mnajitengenezea wenyewe baadae mnaharibikiwa maisha mnaanza kumtafuta mchawi.
afadhali angalau umekuwa mkali. Na mumshauri ajitahidi kumuoa ili kupunguza single mamas
 
Mimi sina cha kukutetea! Hata kama huyo binti simjui! Ni kukutamkia mabaya tu!

Kama utamwacha wakati umesababisha hiyo mimba, Matatizo na shida atakazopata huyo mtoto zikupate wewe ko kote utakako kwenda! Na usifanikiwe katika maisha yako yote!

Utatafuta kazi hutapata na kama unayo ufukuzwe,utaandamwa na mikosi isiyoisha katika biashara zako na huyo utakayemwoa badala ya bint huyo uliyemtia mimba ukamwacha! Mpaka hapo akili itakapokurudi na kumkumbuka huyo bint uliyemtia mimba na kumwachia matatizo huyo mtoto.
Amen!
 
Siku zote nakwambia wewe ni MPUMBAVU.
Haya sasa tupa lawama kwa Magufuli kama kawaida yako.
PUMBAVU sana wewe.
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mimi ndiye mhusika.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yake aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-

1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
be good to the people on your way up the ladder
'cause you'll need them on your way down
 
ushawahi kurogwa? kataa uone
 
Kuna watu ukiwaroga hata Mungu anakuelewa nyege zako ushaharibu future ya bint wa watu wajibika kama mwaume.
 
Jamaa alifanya unyama mkubwa sana hapa ni afadhari angelala sebureni amwache binti na mtoto walale chumbani mpaka asubuhi, kwa usiku mmoja tu wala asingezulika na chochote.
Ndio aina ya wanaume wanataka kuitwa baba hawa 🙁
 
Msimlaumu sana jamani ni huyu kijana ni BROILER kizazi cha 2000 hicho. Hawana cha kupoteza hawa broilers.
 
Labda kama unachangamsha genge kwa chai ya mdalasini,ila kama umemfanyia huyo binti kama ulivyotanabaisha hustahili kuishi mkuu,wewe ni katili sana!Huyo binti asingefukuzwa kwao kama si matokeo yamliyofanya nae,be a man,grow up!
 
Back
Top Bottom