Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

alafu mkija huku mnatukana single Moms mliowalaghai wenyewe.

Mkija huku mnasema feminists ndo wanaongoza kwa kuwa single mothers😏 sasa huyo angekua anajielewa na yuko kazini angekua anaburuzwa hivyo? Men are so selfish ndo maana nawachamba humu jf
Unatuchamba😁😁😁
 
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mm ndiye mhudija.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yske aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya

Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja wao kuwa mm ndiye mhudija.

Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza miezi 2 baba wa binti kamtimua na kumtaka binti yske aje aishi nami niliyempachika mimba.

Baada ya tafakuri pana na mshikaji wangu wa karibu tukaukwepa mtego huo. Maswali yalikuwa haya:-
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
2. Itakuwa vipi endapo wazazi wake watatóa taarifa polisi kuwa binti yao kapotea? Nani atatuelewa?

Tukaamua kuwa " kwa kuwa kurudi kwao haiwezekani kutokana na umbali, tutoe taarifa kwa mjumbe na alale kwa mjumbe, halafu kesho yake ageuze kurudi kwao. Tukafanya hivyo na asubuhi akapewa nauli na hela ya kula kisha akapandishwa gari.

Je, wadau mpk hapa niko salama? Sheria zinasemaje kuhusu kuzaa na mtu vs kumuoa? Mzazi huyu (baba wa binti) siwezi kumshitaki kwa kitendo alichofanya na kunisababishia usumbufu?
Wewe ni mbinafsi sana mpaka kinyaa yaan
 
Wazinzi wote Mungu atawahukumu adhabu
 
"Uliyemzalisha" Amekuwa, ng'ombe?
Au, uliyempa ujauzito na kujifungua,
Kwa lugha yako isiyo na staha, we ilibidi Uwe jera, wemekuona pimbi ndio maana, wanakulazimisha
 
1. Kwao hatupajui na ndugu zake hatuwajui, huyu binti akifa je?
Wakati unafanya nae uzinzi mbona hukufikiria haya?

Sijui una umri gani ila vijana kama nyinyi mnakera sana.

Huwa najiskia vibaya sana kuona mwanamke anakuwa kwenye mahusiano yasiyo na malengo ila kwakuwa nao wameamua iwe hivyo basi na iwe hivyo tu mpaka watakapo jitambua na kuijua thamani yao.

Muhimu: Na nyie wanawake muwe mnaangalia na wanaume wa kuwa nao siyo mnachanua tu.
 
Una akili wewe ?! Ni jukumu lako kuhudumia mama na mtoto.Unaleta kiumbe duniani halafu unaruka ruka .Kiazi wewe.Hata kama hutamuoa hudumia wote .Tena kama una mshahara unatakiwa ukatwe asilimia 40 direct ziende kwa mtoto .Punguwani wewe.Kama jendawazimu tu.
 
mshikaji wangu- anakushikia nini au anakushika wapi? ama ndio msetomseto
Vijana wa namna hii ni hasara mnakimbilia mambo ya kikubwa halafu majukumu hamyawezi. Baadae utakuja kuomba ushauri namna ya kumpata mwanao.
Kwa kifupi huyo binti ni mkeo na mtoto ni wako maamuzi ni yako kama unataka kuwatelekeza.
 
Muoe huyo binti... mzigo umekula vizuri na kumzalisha juu... unataka nani akulelee mwanao sasa?
 
Back
Top Bottom