Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

Daaa, maneno makaliii sana
 
Man!Man
Kama mtoto no wako au sio wako ungekaa nae kwenu walau miaka miwili ujue!!

Kama huna mpango wa kumuoa bas ulipaswa umlee yeye na mtoto huyo hadi mtoto akue halafu umwambie kama unamuoa au lah!na kama humuoi Moe mtaji wa biashara Ili alee mtoto wako au chukua moto atakapokua mkubwa ye umpe mtaji ili aendeshe maisha yake binafsi!!!

Handle hiyo ishu vizuri kabla karma haijaja kukusumbua utakapoanzisha familia!!
 
Vijana laana nyingine mnajitakia,unawezaje kumlaza mama wa watoto wako kwa Mjumbe?

Usivyo na aibu unawaza kumshtaki baba mkwe?

Eti akikufia ushajifikiria akifa wakati unashiriki nae tendo.
HEBU TOA TAKATAKA YAKO HAPA
 
Hadi mwanamke amekubebea mimba inamaanisha anaelewa hali yako halis ya maisha bro mchukue uishi nae auwez kujua lango lako la mafanikio lipo wapo
Kibaya zaidi ni kuwa machoz ya mtu yanaendan n maumivu ivyoo itakuja kukutengezea laana
Je unavyomtimua ivy bahati mbaya ukasikia wamepata ajari wamefariki utasikitik na kuudhunika au ndio poa tu

Kila kitu kina majira na sababu
 
Namhurumia huyo mama na mtoto.
 
Wewe ni mshenzi alafu unajiona una haki wakati mnatiana hamkujua kuwa kuna mimba na mngefanyaje ingetokea? mwenzio anapeleka mzigo kwao badala ya kwako, wewe ni mpumbavu ningekuwa karibu na wewe ningekutandika.

Muoe huyo binti na mtafutie kazi ya kufanya au mpe mtaji acha kuwa mjinga mjinga kwanini usingekuwa unalipia machangu kuliko kulaghai mabinti alafu unasema kwao huwajui ila K ya binti unaijua. Pumbavu zako na kizazi chako.
 
Kumbe ndo akili zako hizi,, that's why hupend kuitwa DEAR
 
Ongea na familia yake, waeleze kuwa utamhudumia mtoto na mama akiwa hapo kwao maana hali yako sio nzuri...mambo yakikaa sawa utamfuata...huwez jua uyo dada akipendeza, mwingine atamtamani na kumbeba...wewe unapona kwa style hiyo
 
Kuoa ni hiari mkuu wala usijistukie kabisa, ila kikitokea kiumbe we hudumia tu
 
Naona wengi wanamsema sana huyu jamaa.

Hivi mwanamke naye alitegemea nini kutombwa kavu na mtu ambaye siyo mume wake?

Tena anajua yuko siku za hatari!! Inashangaza sana

Huyu kijana ni mjinga lakini umalaya umemponza huyo binti.

Wadada tombaneni kavu na waume zenu tu la sivyo mtaishia kuwa single maza

Au mnafikiri mwanaume akikuzalisha au ukimtegea akutie mimba ndio atakuoa?
 
Wewe ni mpumbavu sana aisee!, yani uliweza kulala naye magetoni siku zote mpaka akapata ujauzito, leo ana mtoto unaenda kumlaza kwa mjumbe!, walah dhambi na laana ya huyo mwanamke na mtoto itakufuata popote kwenye maisha yako.
Uliwahi kifikiri angekuwa ndio mdogo wako au dada yako katendewa hivyo,ungejisiaje?
Huyo mshkaji wako uliyemshirikisha na kufikia huo muafaka naye ni mpumbav,wote mmekutana.
Huo mzigo ni wako,kama huna uwezo wa kea waambie wazazi wako wakusaidie.
Na mmejazana humu mitandaoni kuwasengenya ma single mom.mnazalisha vibaka,na wadangaji sababu ya watoto kukosa malezi bora ya wazazi kama wewe mpumbavu.
Watahangaika watu baki kulea na kumkuza huyo malaika, na usivyo na aibu kesho utaibuka kudai mtoto.
Ningekuwa mzazi wa huyo binti, ningekunyoosha kenge wewe😎.
 
Basi hapa hiki nacho kitakuja kuanzisha nyuzi za kuwasimanga singo mama na kinajiapiza hakioi mwanamke mwenye mtoto.....maneeenah
 
Ilikuwaje ukamkojolea...kwani huzijui condoms...?

Hilo ni lako pambana nalo mwenyewe
 
ungekuwa na akili hayo maswali na huyo mjinga mwenzio mngejiuliza mwanzo kabisa kabla ya mahusiano
 
amen
 
Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge,
Kwakuwa ulishamvulia nguo huyo dada na ukafanyanae tendo la ndoa basi usikwepe ndoa yenyewe,
 
Nimeumia sana

Yaani mtoto wako na mama wa mtoto wako hao ni ndugu zako hata kama huwataki hukutakiwa kuwalaza kwa mwanaume mwenzio kwa mjumbe,

Nyinyi ndio mnatimuliwaga na mapanga

Huna akili ulaaniwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…