Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.