Kama Lisu mtu mdogo sana mbona anawatetemesha namna hiyo, mpaka mkaona mumbambike kesi ya uhaini isiyo na kichwa wala miguuJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Kwa hapo kabla walikua hawachunguzi? Chakula kabla ya kumfikia mfungwa si lazima kikaguliwe? Kama kitamfikia mfungwa kikiwa na sumu, aliyeruhusu kiende si lazima na yeye ahusike?Sio chakula tu wasiruhusu kufungashiwa magazeti na vitabu vya kusoma.
Nguo za kubadilisha hadi boxer zichunguzwe kwa umakini.
Maana hawa jamaa ni washenzi kwelikweli, wasichekewe.
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Bi khadija kopa akisikia jina la Lisu mkojo unambana halafu wewe chawa unasema lisu mtoto mdogo..Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
😅😅😅😅Lissu mtu mdogo sana
Ukimaliza kuvuta Bangi uwe unatulia kidogo utafakari cha kuandika kwanza maana si kwa upumbavu huu ulionao, Unasema Lisu ni mtu mdogo unashangaa kuona vipeperushi, sasa kama ni Mtu mdogo kilichokutuma kumbambikia kesi za uongo mtu mdogo nini nini? Chakula cha jela ni chakula cha magerezaccm Polisiccm ibirisi wa ccm ni chakula Hatari kuliko cha ndugu marafiki, wewe ndiyo unapeleka sumu bora tumekuja sasa ili usomewe Albadiri mapemaJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Mleta mada ndiye mwenye sumu zote za kumuua LisuHivi we mtu akili zako ziko sawa kweli!??
Mageraza ya ccm yana ubia na wengine? Magerezaccm Polisiccm na ibirisi ccm Sumu yenu kaeni nayo kwani njama zenu zimejulikanachadema washenzi sana, itakuwa washamtega sumu akahepa, usijekuta hayo madikodiko hali anagawia mahabusu wengine, wakajua washammaliza kashfa iende serikalini
Waliopo jela hawana Hatia waliopo huru wezi mafisadi wapo huru Uraiani wanatengeneza kesi za kubambikia watu, waliopaswa kuwa jela mda huu ndiyo watesi wa Watetezi wa haki za watanzania, Mtetezi yupo jela mwizi muuaji mtekaji yupo huru mitaani haya ni maajabu sanaCAG Kila mwaka anatoa ripoti inaonesha "uchafu". Vipi na yeye asitishwe kutoa ripoti za "kuichafua" serikali??
Tumeyaona kupitia weweHaya sasa mmeona madhara ya kutotumia condom?
Wewe kilaza unafikiri sumu lazima iwekwe kwenye chakula au kinywaji tu, sikulaumu nyie akili zenu zinatosha kucheza ngoma na unyago tu.Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
🙄chadema washenzi sana, itakuwa washamtega sumu akahepa, usijekuta hayo madikodiko hali anagawia mahabusu wengine, wakajua washammaliza kashfa iende serikalini