Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Kumlinganisha na nani? Wewe au?Lissu mtu mdogo
Mavi ya Lissu tu yanaweza kuwa na umaarufu/thamani kuliko watu wa ukoo wako wote.
Kumlinganisha na nani? Wewe au?Lissu mtu mdogo
Wajinga ni wengi sanaJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Nani wa kugoma kula? Ile ilikuwa geresha tu, kajamaa kanafakamia kila chakula kiwekwacho mbele yakeBtw si alisema anagoma kula?
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Kummko we mtu mkubwa mbona unakuja na I'd fake si ungekuja na I'd yako kabisaJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Sasa verse mpya ni sumuNani wa kugoma kula? Ile ilikuwa geresha tu, kajamaa kanafakamia kila chakula kiwekwacho mbele yake
Kama ni mtu mdogo kwanini unaweweseka? Nguruwe maji we!Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Utakua wewe ni kamanda bila shakaNawakumbusha tena Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Kwani ukiangalia maneno yake unamuona Yuko Timamu!?Hivi we mtu akili zako ziko sawa kweli!??
MmmJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
UNapatikana uzao wa kunguni mtuHaya sasa mmeona madhara ya kutotumia condom?
Mnatafuta public sympath ili mtengeneze attention kwa watu..Kilichosemwa ni kweli. Hivi vitisho ni ishara kuwa ukweli umefahamika.
😂Cheki viumbe wanavyotuletea. Na huyu anapiga kura eti.
Tutafute kwa kipi boss?Mnatafuta public sympath ili mtengeneze attention kwa watu..
Hamna kitu hapo wala cha sumu.
Hii naipitisha moja kwa moja maana waafrika tuna roho mbaya sana haiwezekani mtu unaleta uzi wa kutaka mwenzako asipelekewe chakulaKuna siku niliwaza hivi see sisi tulimkosea nini mwenyezi Mungu mbona wenzetu wanafanya mambo makubwa mpaka wanaenda kwenye sayari nyingine wakati sisi bado tunakosa maji??nikaja kupata jibu mwafrika ana roho mbaya saaana.angalia kama kama huyu mleta Uzi unaweza kuta ni mzee wa kanisa lakini roho yake haipendi ndugu zake.
Amelishwa sumu na ndugu zake wanaompelekea chakula?Sasa verse mpya ni sumu
Kesho itakuja nyingine
chakula mumpelekee nyinyi halafu muanze kuzusha kalishwa sumu, who is fooling who?Mageraza ya ccm yana ubia na wengine? Magerezaccm Polisiccm na ibirisi ccm Sumu yenu kaeni nayo kwani njama zenu zimejulikana
ndo ushangae, na hao waliozusha kalishwa sumu ni akina nani?Amelishwa sumu na ndugu zake wanaompelekea chakula?