Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Kamanda? Hapana mkuu umechanganya mamboUtakua wewe ni kamanda bila shaka
Kamanda? Hapana mkuu umechanganya mamboUtakua wewe ni kamanda bila shaka
Kwamba kutokutumia kumesababisha kuzaliwa mamba aliyefanana na binaadamukina mzabzab hao
Hakuna haja kuzuia. Atakaeleta chakula aonjeshwe yeye kwanzaJana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Ni wachache sana ndiyo watakuelewa ila wengi wataishia kukutolea kauli zisizofaa. Ila una hoja usikilizwe.Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Ndugu zake wamekuambia hivyo?Amelishwa sumu na ndugu zake wanaompelekea chakula?
Acha kukwepa uovu wenu. Kwa hiyo hao ndugu ndiyo waliopiga risasi na kumkamata.Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Ni wachache sana ndiyo watakuelewa ila wengi wataishia kukutolea kauli zisizofaa. Ila una hoja usikilizwe.
Wewe huna uchungu kuliko mama yake aliyemzaa na dada zake waliomlea, acha mbinu za kiovu kukwepa lawama kwa njama chafu.Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Mimi nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali tena 🙆♂️Ndugu zake wamekuambia hivyo?
Ndio hao hao nyumbu wanaompelekea chakula!ndo ushangae, na hao waliozusha kalishwa sumu ni akina nani?
Nitajie mtu mdogo mwingine ambaye aliwahi kupewa kesi ya uhaini nchini?Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu
sumu inaweza wekwa, wakampa mtu apeleke anaweza kuwa house boy, wakafika wakampa ale nayeye kwaheri, tena wanaweza mmaliza kabla ya muhusika hajafa ili kufuta ushahidi, mnakumbuka ile stori ya yule dada?Chakula kabla hajalewa mahabusu LAZIMA aliyekileta akoroge na aonje. Sasa unless na huyo anayepeleka msosi aamue na yeye kufa the same style.
So hoja hii ni useless.
prince bagendaNitajie mtu mdogo mwingine ambaye aliwahi kupewa kesi ya uhaini nchini?
Ikishataja jipige kifua mara tatu sema "Mwishokambi ni chawa"
Wale ni papasiNdio hao hao nyumbu wanaompelekea chakula!
Magerezaccm Polisiccm ni matawi ya ibirisi ccmSasa hivi ni mtihani kwa serikali! Lissu analindwa kama Yai ambalo likiponyoka likaanguka serikali inaweza kupata shida.
Naamini sasa hivi Mkuu wa gereza la Ukonga hapati usingizi vizuri.