Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

Kuna siku niliwaza hivi see sisi tulimkosea nini mwenyezi Mungu mbona wenzetu wanafanya mambo makubwa mpaka wanaenda kwenye sayari nyingine wakati sisi bado tunakosa maji??nikaja kupata jibu mwafrika ana roho mbaya saaana.angalia kama kama huyu mleta Uzi unaweza kuta ni mzee wa kanisa lakini roho yake haipendi ndugu zake.
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Nchi ipo na vilaza wengi sana
 
Kama waliweza kupigana risasi wakaisingizia serekali unadhani kula tu chakula kilichochacha wanashindwa
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulika
Kwani chakula aletewa na nani? Tuanzie hapo
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
.....Nani anaweza chafua Oil CHAFU?
 
Ugali mbichi na maharagwe mabovu ya serikali sio.
 
Ukiwa jela kama una gusa maslai yao chakula salama ni kile cha foleni usile chakula chochote Wala kitu chochote toka nje iwe na mke mme au ndugu nje ya Hapo tegemea chochote.
Mbele ya tumbo mswahili sio mtu.
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
cheki hili papayi rojo
 
WANAUME ,tuache kukanda wakezetu tukiwa tumelewa matokeo ndokuzaliwa kenge huyu
 
Upuuzi mtupu.. Sidhani hata kama unaelewa sheria na taratibu za kumpelekea mahabusu chakula
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Unazjuq taratibu za mfungwa au mahabusu kupewa chakula na nduguze toka nje 🤔 maana tusjeanza jadili na mtu ambaye hajui lolote zaidi ya ung'ombe wake kwa bibi wa kizenj
 
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.

Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Wewe ni mjinga wa kupindukia
 
chadema washenzi sana, itakuwa washamtega sumu akahepa, usijekuta hayo madikodiko hali anagawia mahabusu wengine, wakajua washammaliza kashfa iende serikalini
 
hadema washenzi sana, itakuwa washamtega sumu akahepa, usijekuta hayo madikodiko hali anagawia mahabusu wengine, wakajua washammaliza kashfa iende serikalini
Unajua taratibu za kupeleka chakula magereza hadi kimfikie mahabusu hatua zake?
Jitahidi sana kufikiri kabla ya kuandika!
 
Back
Top Bottom