Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
We
Kajipange Tena umeandika upuuzi wa hali ya juu sana!!
WEWE ni mpumbavu sana,🤔🤔 ndugu Wa damu watake kumdhuru ndugu yao wa damu Lissu?? Kwa faida gani???Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali.
Lissu mtu mdogo sana nimeshangaa sana kuona vipeperushi vinasambaa eti kuna mpango wa kumwekea sumu, nashauri chakula kutoka nje kizuiwe kuanzia sasa ili ijulikane kuwa chakula atapatiwa magereza na kama atadhurika ndio itajulikana.
Kajipange Tena umeandika upuuzi wa hali ya juu sana!!