Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.

Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.

Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.

Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.

SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.

Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .

Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.

Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.

Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
 
..Mzee Butiku ni askari.

..Major J W Butiku.
 
Hicho kisiki
 
23 Julai 2025

DAKIKA 45 ITV TANZANIA NA MZEE JOSEPH BUTIKU, JULAI 23, 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=CTwcso_0pVg
Major (Mstaafu) Joseph Butiku aliwahi kuwa Katibu Binafsi wa Mwalimu Julius Nyerere kuanzia Joseph Butiku akiwa na umri wa miaka 26 tu. Aliendelea kufanya kazi na mwalimu Julius Nyerere kwa miaka mingine 21 (1964-1985).

Major. Joseph Butiku kwa sasa ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Julius Nyerere Foundation, ambapo pia aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji.
1753314638238.jpeg

Major Butiku mbali ya kuwa msaidizi wa rais Julius Nyerere pia aliaminiwa sana kama daraja au kiungo cha wanaharakati wa ukombozi wa nchi mbalimbali na mwalimu Nyerere. Wanaharakati haoch waliodai mabadiliko kutoka Afrika ya Kusini kupinga ubaguzi , Uganda kupiga utawala wa Idi Amin Dada, Visiwa vya Comoro, Seychelles n.k

JOSEPH W. BUTIKU
EXECUTIVE DIRECTOR AND TRUSTEE OF THE MWALIMU NYERERE FOUNDATION

JOSEPH BUTIKUwas President Nyerere’s Personal Research
Assistant, as well asChief of Staff and Personal Envoy prior to his current role.

He also attended Monduli
Military Academy, graduating as Lieutenant, and subsequently
attaining the rank of major. He was then Principal Private
Secretary and Chief of Staff under President Ali Hassan Mwinyi, Regional Party Secretary of the CCM in Mara Region,
later becoming Regional
Commissioner.
Source : juliusnyerere.org
 
Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.

Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.

Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.

Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.

SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.

Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .

Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.

Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.

Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Walishaambiwa kuwa wastaafu wanawashwa washwa. Butiku yumo, au hayumo?
 
Na wao wanasubiri amri ya Amiri Jeshi Mkuu.

Ukiona nyani mjini ujue anafugwa, naona wenye nyani wamekuja
 
Back
Top Bottom