4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mkuu hondoa shaka , hao wazee unawafahamu vizuri ? kuna watu sio wa kuchezea hata kama wanazeeka, kwamba mfano hawa wazee wafanyiwe umafia wakati vijana wao kama mzee Pinda anaangalia , na je wako wangapi vijana wao umri wa mzee Pinda na nyuma yao wapo vijana wao wangapi .Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Wahuni walimwingiza chaka sana Mgombea wa ccm January, ni mda ccm kuwafukiza wote kwenye uanachama wote walio shiriki kuvunja taratibu za chama .
Huwezi kuwa na chama ambacho hakina meno ,kwamba watu kadhaa wawe juu ya chama ,fukuza.
Mimi natamani tz iwe na vyama vyenye nguvu na kupitia nguvu hii lazima taifa litapata viongozi bora