Mada ingejielekeza huko ingekuwa na manufaa zaidi, badala yake kaichepusha na kuivuruga kabisa.Butiku amesemaje?

Tunaanzisha threads kama tuko kwenye mashindano ya nani ataibuka bingwa aliyeanzisha threads nyingi zaidi.Mada ingejielekeza huko ingekuwa na manufaa zaidi, badala yake kaichepusha na kuivuruga kabisa.
Anng'ata na kupuliza!Butiku amesemaje?
Mungu wa mbinguni yupo.Na asipoangalia Watamuua
Uongozi wa nchi hii wanakosea sana.Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Wote uliowataja dini moja, kuna udini ndani yake?Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Pigeni risasi na ueni kila anayepanua mdomo kuumia, kulia na kuombolezea mauaji ya ndugu zao Watanganyika. Kinachofanyika sasa hakuna tofauti na kwenda msibani, unakuta watu wanalia wanaomboleza halafu mnamwaga risasi kwa waombolezaji eti wanavunja sheria na kupiga kelele. Na sio wazalendo. Mwenye bunduki muuaji ni mzalendo na mwenye kulia machozi na kitambaa tu cha kufuta machozi ni mhaini. Maajabu ya Tanganyika.Hvi unadhani JWTZ ni redbrigade au hamasa eti?
mnajitekenya halafu mnacheka!
Hapana. Waislam pia hawako salama wakiamua kulia na kuombolezea mauaji haya. Ally Kibao dini gani.Wote uliowataja dini moja, kuna udini ndani yake?
RubbishAlipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Kwani kasemaje?Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Ally kibao aliuawa kwa sababu ya uchadema wakeHapana. Waislam pia hawako salama wakiamua kulia na kuombolezea mauaji haya. Ally Kibao dini gani.
Na wewe nae una wivu wa kijinga kama dada yako mkubwa.Acha ujinga , jina la Warioba halina "L" ! "Rice Oba," ni code ya kijinga,!
Kumbe wewe ni mpumbavu! Nilidhani ni mjinga tu!Na wewe nae una wivu wa kijinga kama dada yako mkubwa.
Sasa hapo unachojifanya mwalimu mzuri wa kiswahili ni nini?
REFORMS haziepukiki.✍️Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.