Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wewe zaidi ya udini na uchawa una nini ulichobakiza huko kichwani?Wote uliowataja dini moja, kuna udini ndani yake?

Yote sawa, mimi sibishani na kofi la MPZ wangu maana mimi ndio naekufikisha kileleni Kilimanjaro mpaka maji unayaita mamamamaaaaaaKumbe wewe ni mpumbavu! Nilidhani ni mjinga tu!
Manung'uniko ni sehemu ya maishaAlipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Wewe umezoea kugeuzwa nyuma hadi Wali unaita "Wari" unadhani tabia zako za ushoga ni za wote!!Yote sawa, mimi sibishani na wewe MPZ wangu maana mimi ndio naekufikisha kileleni Kilimanjaro mpaka maji unayaita mamamamaaaaaa
Mzee Ali Kibao naye tunaambiwa alikuwa Mstaafu mwenye cheo cha Major...Mzee Butiku ni askari.
..Major J W Butiku.
Huwezi gusa hao wazee 2 wenye maono na mapenzi makubwa na Taifa hili. Hawa ndo wamebaki wnaoweze kulitetea Taifa. Wale wengine wazee wala ubwawa wao ni kupotosha Taifa tu na kupindisha Taratibu za hata Chama chao wenyewe kwa kulinda maslahi yao na watoto kwenye nafasi. Ukigusa maisha ya hawa wazee wetu Butiku na Warioba jua unataka kukinukisha, maana kumbuka kuwa Asilimia takribani zaidi ya 60% ni vijana wa Kazi wafunga Buti wa Nchi hii wanatoka toka Mkoa Mara. Unagusa je wazee wao na ubakie salama kwenye nafasi ?Na asipoangalia Watamuua
Kwani Makonda laana si unaona mpaka sasa bado zinamfuata, hata kama Alishatubu. Sisi wakristo tunaambiwa ukitubu Mungu anakusamehe.Makonda alimgusa Rice Oba
Ukikuta jamii ambayo watu wake wote wana mawazo na fikra zinazofanana, basi ujue kuwa hiyo ni jamii mfu !Anng'ata na kupuliza!
Wewewewe, wemtoto wakurya hatuko hivyo wala hatuna tabia hizo acha mara moja tabia ya kupenda kuchomekwa mti wa mpingo.😆😆😆😆😆😆Wewe umezoea kugeuzwa nyuma hadi Wali unaita "Wari" unadhani tabia zako za ushoga ni za wote!!
Nakweli maana tayari wana addiction ya. DamuNa asipoangalia Watamuua
Tehe tehe tehe teheTunayo yako mengi tu tunayamezea.
Sasa usitake kutufanya tufukue makaburi.
Nakupa onyo,wacha kuongea vitu visivyo na ukweli.
Jina lako tu la Man Filandu ni ufupisho wa wewe kuwa mwanaume unayechokonolewa mku.ndu kwa mti wa mpingo. Tena kwa taarifa yako siku hizi Wakurya ndo wanaongoza hapo Mara kwa kuchokonolewa vinyeo!Wewewewe, wemtoto wakurya hatuko hivyo wala hatuna tabia hizo acha mara moja tabia ya kupenda kuchomekwa mti wa mpingo.😆😆😆😆😆😆
Usitegemee hilo mkuu....CDF ni mtu wa MAMA ukumbuke hilo.Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
akiona kuna tatizo asiongee eti kwa sababu ni mstaafu?Anaweza akawa ni mstaafu lakini ni Mzalendo achana na hao wanaojivika kivuli cha uzalendo kumbe wanamaslahi yao.Walishaambiwa kuwa wastaafu wanawashwa washwa. Butiku yumo, au hayumo?
CLIP PLEASE TUWEKEE HAPAAlipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.