Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.

Polisi wamesema dada yake Polepole ametekwa halafu ameachiwa huru. Lakini wambeya hawakusumbuka kutangaza kwamba dada yake Polepole kaachiwa huru.
 
Nasikia #Mama huko ametakiwa kurejesha mpira kwa kipa ,yeye kagoma.

Team Msoga inamwambia shikilia hapo hapo na wafia chama wanasema Tutaona .

No ya wafia chama inazidi kuongezeka huku hoja za waliyopindua meza zinazidi kuwa dhaifu zaidi ya kubebwa na kofia tu.

Ngoma imehairishwa ,kikao kingine hadi Ijumaa, sijui itakuwaje.
 
Uongozi wa nchi hii wanakosea sana.
 
Wote uliowataja dini moja, kuna udini ndani yake?
 
Uenll
Hvi unadhani JWTZ ni redbrigade au hamasa eti?

mnajitekenya halafu mnacheka!
Pigeni risasi na ueni kila anayepanua mdomo kuumia, kulia na kuombolezea mauaji ya ndugu zao Watanganyika. Kinachofanyika sasa hakuna tofauti na kwenda msibani, unakuta watu wanalia wanaomboleza halafu mnamwaga risasi kwa waombolezaji eti wanavunja sheria na kupiga kelele. Na sio wazalendo. Mwenye bunduki muuaji ni mzalendo na mwenye kulia machozi na kitambaa tu cha kufuta machozi ni mhaini. Maajabu ya Tanganyika.
 
Rubbish
 
Tupo kqente utawala wa shetani. Chanzo cha yote ni msoga, huyu ndiye mharibifu mkubwa wa Taifa.
 
Kwani kasemaje?
 
Kama ingekuwa ni zama zile leo tungekuwa tunaimba "Msoga must die, Msoga must die at any cost"
 
REFORMS haziepukiki.✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…