4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mkuu hondoa shaka , hao wazee unawafahamu vizuri ? kuna watu sio wa kuchezea hata kama wanazeeka, kwamba mfano hawa wazee wafanyiwe umafia wakati vijana wao kama mzee Pinda anaangalia , na je wako wangapi vijana wao umri wa mzee Pinda na nyuma yao wapo vijana wao wangapi .Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
JWTZ KAZI YAO NI KULA NA KUπ© MAKAMBINI AWAJUI UZALENDO NI NINI NA THAMANI YAKE ...SAMIA ANATAFUTA UHAI WA WAZALENDO KWA MAELEKEZO YA GENGE LA ROSTAM AZIZI ILI KUWAUA WOTEAlipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Tatizo la vyombo vyetu vya dola na vya maamuzi. Wanaoviongoza ni makada watiifu kwa watawala na si kwa nchi.Binafsi huwa najiuliza hivi JWTZ wanawezaje kulinda mipaka huku ndani uozo ukiendelea Kwa kigezo eti jeshi haliingilii siasa!!
Hivi kumteka na kumuua raia kiss kakosoa serikali ni siasa au uvunjwaji Sheria na kuhatarisha usalama wa Raia ambao nyie mnalinda mipaka yao!!?
Ifikie hatua JWTZ wawe vocal kuhakikisha Sheria za nchi zinafutwa na sio kukaa kimya mambo yakiharibika!ni Bora wakawaambia kama mmeshindwa utawala was Sheria na na haki za raia basi mtuache sisi tuwaonyeshe namna ambavyo mambo yanavyopaswa kwenda!!
Huwezi Linda mipaka Kwa jasho na damu halafu ukaacha washenzi na wezi wakifanga mambo ya hovyo ndani ya mipaka!!
KAZI na utu tunasonga mbele!!
Kama mtoto wako anajiweza hata miaka minne mpeleke darasa la kwanza. Kwanini usubiri mpaka miaka saba ndio umpeleke mtoto darasa la kwanza, eti kwa sababu wanasema hivyo.Mkuu hondoa shaka , hao wazee unawafahamu vizuri ? kuna watu sio wa kuchezea hata kama wanazeeka, kwamba mfano hawa wazee wafanyiwe umafia wakati vijana wao kama mzee Pinda anaangalia , na je wako wangapi vijana wao umri wa mzee Pinda na nyuma yao wapo vijana wao wangapi .
Wahuni walimwingiza chaka sana Mgombea wa ccm January, ni mda ccm kuwafukiza wote kwenye uanachama wote walio shiriki kuvunja taratibu za chama .
Huwezi kuwa na chama ambacho hakina meno ,kwamba watu kadhaa wawe juu ya chama ,fukuza.
Mimi natamani tz iwe na vyama vyenye nguvu na kupitia nguvu hii lazima taifa litapata viongozi bora
Mawazo ya kijinga sana ,kwa nini sasa sheria ,kanuni na taratibu zikawepo, kwamba leo mtoto wa chini ya miaka 18 aolewe alafu mamlaka ziangalie tu wakati sheria inakataa.Kama mtoto wako anajiweza hata miaka minne mpeleke darasa la kwanza. Kwanini usubiri mpaka miaka saba ndio umpeleke mtoto darasa la kwanza, eti kwa sababu wanasema hivyo.
Dr Samia ni candidate uhakika, na wanachama wa CCM wanaamini hivyo, hawakuwa na haja ya kusubiri. Na ndio imetoka hiyo.
Imebaki miezi mitatu tu mpaka uchaguzi mkuu, muda unakimbia. Karibuni kampeni zitaanza, hakuna muda wa kuhangaika na kutafuta mgombea. Vyama vya Upinzani visubiri mpaka dakika ya mwisho vikisubiri akina Polepole na company wahamie huko ndio wawe wagombea wao. Kila la heri!
Nyie karirini tu, nani alikwambia mtoto wa miaka 16 hawezi kuolewa? Uingereza imepitisha sheria, wameshusha umri wa haki ya kuchagua ni 16 sasa hivi, nyie endeleeni kubaki na miaka 18.Mawazo ya kijinga sana ,kwa nini sasa sheria ,kanuni na taratibu zikawepo, kwamba leo mtoto wa chini ya miaka 18 aolewe alafu mamlaka ziangalie tu wakati sheria inakataa.
Kwamba ukajisaidie barabarani ukiwa na akili timamu wakati vyoo vipo ,unaongea ujinga gani hapa? Pumbavu
Ukiangalia hizi media karibu asilimia kubwa zipo Kinyume na wakubwa sema wanashindwa kufunguka tu...23 Julai 2025
DAKIKA 45 ITV TANZANIA NA MZEE JOSEPH BUTIKU, JULAI 23, 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=CTwcso_0pVgMajor (Mstaafu) Joseph Butiku aliwahi kuwa Katibu Binafsi wa Mwalimu Julius Nyerere kuanzia Joseph Butiku akiwa na umri wa miaka 26 tu. Aliendelea kufanya kazi na mwalimu Julius Nyerere kwa miaka mingine 21 (1964-1985).
Major. Joseph Butiku kwa sasa ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Julius Nyerere Foundation, ambapo pia aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji.
View attachment 3416361
Major Butiku mbali ya kuwa msaidizi wa rais Julius Nyerere pia aliaminiwa sana kama daraja au kiungo cha wanaharakati wa ukombozi wa nchi mbalimbali na mwalimu Nyerere. Wanaharakati haoch waliodai mabadiliko kutoka Afrika ya Kusini kupinga ubaguzi , Uganda kupiga utawala wa Idi Amin Dada, Visiwa vya Comoro, Seychelles n.k
JOSEPH W. BUTIKU
EXECUTIVE DIRECTOR AND TRUSTEE OF THE MWALIMU NYERERE FOUNDATION
JOSEPH BUTIKUwas President Nyerereβs Personal Research
Assistant, as well asChief of Staff and Personal Envoy prior to his current role.
He also attended Monduli
Military Academy, graduating as Lieutenant, and subsequently
attaining the rank of major. He was then Principal Private
Secretary and Chief of Staff under President Ali Hassan Mwinyi, Regional Party Secretary of the CCM in Mara Region,
later becoming Regional
Commissioner.
Source : juliusnyerere.org
Uoga Au ??!Anng'ata na kupuliza!
Aibu kubwa Sana hii!Tatizo la vyombo vyetu vya dola na vya maamuzi. Wanaoviongoza ni makada watiifu kwa watawala na si kwa nchi.
SiSi wa Dini nyingine tunaambiwa ukimkosea mtu mpaka akusamehe uliyemkosea ndipo Mungu atakusamehe !Kwani Makonda laana si unaona mpaka sasa bado zinamfuata, hata kama Alishatubu. Sisi wakristo tunaambiwa ukitubu Mungu anakusamehe.
JW wanaingiaje hapo sasa? Mbona mnapenda sana kuropoka? Kwa taarifa yenu, Jeshi lolote duniani linawajibika kwa Amiri Jeshi Mkuu tu!!Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Sasa mkuu ulinzi wa nini wakati na yeye anapinga no reforms no election?Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank.
Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS.
Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa.
Amewahi Ongea Mzee Warioba, wakamumsumbua sumbua.
SASA KAONGEA MZEE BUTIKU, MWENYEKITI WA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE.
Hofu yangu sanasana, ni juu ya UHAI wa Hawa wazee wetu wawili Wazalendo wakuu wa Taifa hili, Mzee Butiku, Mzee Warioba .
Kwa namna Genge la Utekaji na Uuaji lisivyokua na Aibu, huku Afande Muliro akisema Wanatekwa ni sababu ya Ushirikina na Mapenzi , Basi Maisha ya Mzee Butiku na Mzee Warioba mpaka Sasa yako hatarini.
Yako hatarini Kwa sababu ndio Wazee pekee waasisi wa Tanzania yetu ambao Kwa pamoja bila kupepesa macho, wamekea Utekaji, wamekemea Utaratibu wa Rais Samia kujiteua.
Ni Rai yangu, JWTZ itachukua Jukumu la kuhakikisha Usalama Wazee Hawa.
Hao hao Wana Ccm wanaomsakama Mwenyekiti wao wa Chama ndio ambao hawataki mfumo huo Ubadilike πππ€£π€£ !Aibu kubwa Sana hii!
Tubadili mfumo,jeshi like loyal kwa nchi na taifa na sio Kwa Chama chochote kile!