Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, tumia ID yako kongwe ili wakushambulie kwa ufasaha zaidi.Tofautisha kulipa kodi na kulipa bili ya umeme. Kuna viwanda vinalipa kodi ya mabilioni na wana genereta.
Tulia..3m unafoooka...we vipi?
Hujui tofauti ya TRA na TANESCO ?
Tumien solarPole sana Mkuu.
ADHA YA UMEME INATUTESA WATANZANIA WOTE, SERIKALI INABIDI ITAFUTE SULUHISHO LA KUDUMU (TUMECHOKA).
Vyama vya Upinzani viratibu Maandamano ya kupinga Shirika la TANESCO
Habari zenu, Nina ombi kwa vyama vya upinzani waratibu maandamo yenye lengo la kutaka Shirika la TANESCO liondolewe nchini. Ni mtu mjinga pekee ndio hatotaka kuandamana kwenye maandamano mtakayoitisha. Haiwezekani nchi inanunua Ndege na kujenga Flyover lakini nishati muhimu inakosekana...www.jamiiforums.com
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
wewe sio mzima kichwani ukapimweTofautisha kulipa kodi na kulipa bili ya umeme. Kuna viwanda vinalipa kodi ya mabilioni na wana genereta.
Tulia..3m unafoooka...we vipi?
Hujui tofauti ya TRA na TANESCO ?
Tufanye simple calculations yaani pato lake(a) mara 18% ni sawa na milioni 3Mkuu, tumia ID yako kongwe ili wakushambulie kwa ufasaha zaidi.
3m kama kodi, hajasema kama ni kutoka kwenye mshahara au biashara ILA vyovyote vile, inaonesha ni mtu mwenye kipato kikubwa cha halali, akijipanga, jenereta sio issue kwako.
Kwako wewe sasa, inawezekana hiyo kodi anayolipa mwamba, ni kipato chako cha miezi 3 lakini unajaribu kubeza hapa kwa kufuata mkumbo wa ki-JF
Nina ndugu yangu yupo TRA, miaka minne ya kwanza akawa amejenga nyumba tatu za maana sana hapa dar. Niliacha kabisa kuwa karibu naye maana ni mwizi wa mali za uma.Pole mkuu na mbaya zaidi hizo fedha zinaenda kujenga magorofa ya TRA officer's!,President Jimmy Carter anaishi kwenye nyumba ya 210,000usd, shopping yake kwenye store ya jirani, TRA ofisa anaishi nyumba ya 500k usd, shopping yake Dubai, china, Mall of Africa!!,subiria kupangwa maana hutaki kujipanga mwenyewe
Hawa viongozi ni dhaifu sana kwakweli maana umeme wala sio teknolojia complex kwenye kuuzalisha.Pole sana Mkuu.
ADHA YA UMEME INATUTESA WATANZANIA WOTE, SERIKALI INABIDI ITAFUTE SULUHISHO LA KUDUMU (TUMECHOKA).
Vyama vya Upinzani viratibu Maandamano ya kupinga Shirika la TANESCO
Habari zenu, Nina ombi kwa vyama vya upinzani waratibu maandamo yenye lengo la kutaka Shirika la TANESCO liondolewe nchini. Ni mtu mjinga pekee ndio hatotaka kuandamana kwenye maandamano mtakayoitisha. Haiwezekani nchi inanunua Ndege na kujenga Flyover lakini nishati muhimu inakosekana...www.jamiiforums.com
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Huwa simuelewi kabisa mtu anayekwenda ofisini na anapokea mshahara wa kodi za raia wenzake masikini huku akijua kabisa hakuna value yoyote anayowapatia.Hilo la umeme cha mtoto, kubwa kuliko ukilipa tu yafuatayo hutokea:Baba /mama Mmoja afisa wa serikari anatoka Nyumbani kwake , familia inamuaga kwa bashsha na Upendo, anaingia ndani Land cruiser LC, dereva anauelipwa na serikali anamiendesha hadi ofisini kwake. Wafanyakazi wa ngazi ya chini wanmwamkia kwa adabu za uoga, anaingia ofisini kwake na kujifungia!
Mbwembwe zote hizo utafikiri anenda kufanya jambo la maana! Kumbe anaishia kumwagiza muhasibu ahamishe fedha ulizolipa na kuzipeleka kwenye mafungu ambapo zitapigwa kwa invoice feki zenye tarakimu nyiingi na hatimaye zitamfikia baadaye .
Kulipa Kodi hapa Tz ni Moja kati ya mambo yanayoleta stress kubwa kwa mlipa Kodi, si kwasababu hatutaki kulipa , bali kwasababu hata tukilipa tunajua zitapigwa na viongozi walafi waliovaa suti na matumbo yao makubwa. Hii nchi ngumu sana.
Ficha ujinga wako. Unafahamu kwamba serikali inatoa mabilioni mangapi kwa mwaka kulipia uendeshaji wa tanesco?Tofautisha kulipa kodi na kulipa bili ya umeme. Kuna viwanda vinalipa kodi ya mabilioni na wana genereta.
Tulia..3m unafoooka...we vipi?
Hujui tofauti ya TRA na TANESCO ?
Umeme wa tanesco una raha yake maana unawasha chochote nyumbani. Generator zile nzuri zenye silencer ni gharama sana kuzinunua kwa matumizi ya nyumbani, labda iwe kwenye biashara.inaonesha ni mtu mwenye kipato kikubwa cha halali, akijipanga, jenereta sio issue kwako.
Tofautisha kulipa kodi na kulipa bili ya umeme. Kuna viwanda vinalipa kodi ya mabilioni na wana genereta.
Tulia..3m unafoooka...we vipi?
Hujui tofauti ya TRA na TANESCO ?
Chukua hizo hizo hesabu, nenda nazo kwenye population, kisha uniambie kama wako wengi wa kipato halali hicho, kwa wingi huo unaousema, TAKWIMU ya kuwa NCHI MASIKINI kwa kiwango cha kuishi chini ya Tzs 2,400 kwa siku inatokea wapi?Tufanye simple calculations yaani pato lake(a) mara 18% ni sawa na milioni 3
18a/100=3,000,000
18a=300,000,000
A=kama milioni 16 hivi.
Sasa unatak kusema ngumu kuingiza milioni 16 ama 17 kwenye biashara yake mbona wengi tu pato hilo linapatikana kwa biashara nyingi kuanzia hardware etc.
Milioni 17 kwa mwezi ni mauzo ya kama laki 6 hivi kasoro kwa siku. Ni kawaida sana mkuu, kuna watu wengi biashara zao kwa siku wana mauzo ya milioni mpaka milioni 5