Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Am just newbie ,am best loser,am fukd up, am mistake doer,I know nothing so relax. Ila swali lako linajibiwa kuwa dig deep real deep you'll understand. Isn't easy but it can be done with only undying, unquenchable steel iron guy type having endless passion, perseverance, effort, dedication, courage, warriors mentality to walk the real walk where many run away full of thorns,fire,real bullets,real gun fighting
Inaonekana wew ni guru sana tell us wat makes money
How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.
So umeshaongea na watu wanaotredi kuwa watakuwa always wanakuja wanakuachia hela zao kwa ratio iyo iyo. Hebu tuone ulivyoipata iyo strategy yako. Hebu lete trades zako hapa ili tuzione kweli kama Zina comply na iyo rrr yako Kama hauongopi
Umesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
 
Yoyotee yenye kujipendekeza
Bado hujaiva hujamasta your craft yoyote Ina Mana wewe Ni Mr yoyote,or Mr all
Umesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
 
Much know tuh huna lolote kaka Kwan lengo ni kutengeneza pesa ama kutumia strategy ngumu 😂😂😂 wabongo nyoso khaaa
Kingine jaribu kurekebisha kauli yako unapowasiliana na watu, ipo hivi labda nikueleweshe strategy unayoitumia ina effect kubwa sana kwenye entry zako na unapozidi kuchelewesha entry ndivyo utakavyovuna pips chache sijui kama umesoma hili pia?

Mfano
Anayetumia BTMM huwa anaziona entry points mapema sana kuliko anayetumia strategies nyengine zozote zile so wakati yeye anavuna 50 pips for one level wewe level hiyo hiyo unavuna 20 pips ukiangalia kuna tofauti ya 30 pips kitu ambacho kinachelewesha malengo .

Now you know .
 
Am just newbie ,am best loser,am fukd up, am mistake doer,I know nothing so relax. Ila swali lako linajibiwa kuwa dig deep real deep you'll understand. Isn't easy but it can be done with only undying, unquenchable steel iron guy type having endless passion, perseverance, effort, dedication, courage, warriors mentality to walk the real walk where many run away full of thorns,fire,real bullets,real gun fighting

How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.
So umeshaongea na watu wanaotredi kuwa watakuwa always wanakuja wanakuachia hela zao kwa ratio iyo iyo. Hebu tuone ulivyoipata iyo strategy yako. Hebu lete trades zako hapa ili tuzione kweli kama Zina comply na iyo rrr yako Kama hauongopi
Duh
Kijana unaijua vema safari ya trading na sifa za mtu anaetakiwa kuipursue hyo safari. Its not easy but its doable.
 
Kwamba hauwezi kufungua account mpaka sasa? Ni very easy mkuu maelezo yoote yapo pale kila kitu kinajieleza ni wewe kufuata muongozo .
Hahaha dah we jamaa unadharau sana Yani kwamba naonekana siwezii fungua demo account hahaha😂😂😂
 
Nope sidhani for supply and demand angepiga zaidi ya hapo itakuwa ni PRICE ACTION au support and resistance huyu bado kinda sana
Wewe nawe hujui kabisa kitu.

Strategy Tatu zenye uweze kukupa matokeo chanya zote zimebase kwenye market structures.

1. Dow theory

2. Wyckoff theory

3. Eliott wave theory

Entry strategy

Supply and demand ni Best of the best sababu inakupa uwezo wa kukadiria precisely number of pips for SL and TP.

Supply and demand inakupa ubabe sokoni wa kutrade kama big banks (institutional strategy and smart money) wakati Gani wanaingia sokoni na wakati wa kutoka.

SR,TL,MAs, Fibonaccci tools hizi assistance tools tu sio za kuzitegemea sana.

Unaweza ukawa unajua hayo madude yote na still ukapigwa kama kawa sababu hujui risk management and position sizing.

Mtu ana kimtaji Cha dollar 200 anafungua order 5 za lot size ya 0.01 hii ni betting my friend.

Au ana kimtaji Cha dollar 2000 anafungua order 7 za 0.1 hii pia ni betting utapigwa tu utake usitake utakuwa emotions za ajabu sokoni. Once sokoni likianza enda ndivyo sivyo sababu ya earli entries utakata loss hadi hapo unapunguza mtaji utawipe account kwa staili hio

So risk management and position sizing itakufanya ujue ni kiasi gani utalose first hili ndio la msingi (ujue kwanza unataka lose kiasi gani mara nyingi ni 1%-2% ya account) then reward Yako itakuwa kiasi.gani.

Utaweka position Yako free out emotions utaenda mitikasi Yako kwako hizo strategy Zina accuracy kubwa kwa hakika utalipasua pasua soko.

Anyway nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu wao Wanakula mavi na kunya uharo.

Forez is not for everyone. Usifate mkumbo.usiige kunya kwa tembo.
 
Am just newbie ,am best loser,am fukd up, am mistake doer,I know nothing so relax. Ila swali lako linajibiwa kuwa dig deep real deep you'll understand. Isn't easy but it can be done with only undying, unquenchable steel iron guy type having endless passion, perseverance, effort, dedication, courage, warriors mentality to walk the real walk where many run away full of thorns,fire,real bullets,real gun fighting

How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.
So umeshaongea na watu wanaotredi kuwa watakuwa always wanakuja wanakuachia hela zao kwa ratio iyo iyo. Hebu tuone ulivyoipata iyo strategy yako. Hebu lete trades zako hapa ili tuzione kweli kama Zina comply na iyo rrr yako Kama hauongopi

Bado hujaiva hujamasta your craft yoyote Ina Mana wewe Ni Mr yoyote,or Mr all
Unataka analysis ama
Screenshot_20220730-140010.jpg

Wewe nawe hujui kabisa kitu.

Strategy Tatu zenye uweze kukupa matokeo chanya zote zimebase kwenye market structures.

1. Dow theory

2. Wyckoff theory

3. Eliott wave theory

Entry strategy

Supply and demand ni Best of the best sababu inakupa uwezo wa kukadiria precisely number of pips for SL and TP.

Supply and demand inakupa ubabe sokoni wa kutrade kama big banks (institutional strategy and smart money) wakati Gani wanaingia sokoni na wakati wa kutoka.

SR,TL,MAs, Fibonaccci tools hizi assistance tools tu sio za kuzitegemea sana.

Unaweza ukawa unajua hayo madude yote na still ukapigwa kama kawa sababu hujui risk management and position sizing.

Mtu ana kimtaji Cha dollar 200 anafungua order 5 za lot size ya 0.01 hii ni betting my friend.

Au ana kimtaji Cha dollar 2000 anafungua order 7 za 0.1 hii pia ni betting utapigwa tu utake usitake utakuwa emotions za ajabu sokoni. Once sokoni likianza enda ndivyo sivyo sababu ya earli entries utakata loss hadi hapo unapunguza mtaji utawipe account kwa staili hio

So risk management and position sizing itakufanya ujue ni kiasi gani utalose first hili ndio la msingi (ujue kwanza unataka lose kiasi gani mara nyingi ni 1%-2% ya account) then reward Yako itakuwa kiasi.gani.

Utaweka position Yako free out emotions utaenda mitikasi Yako kwako hizo strategy Zina accuracy kubwa kwa hakika utalipasua pasua soko.

Anyway nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu wao Wanakula mavi na kunya uharo.

Forez is not for everyone. Usifate mkumbo.usiige kunya kwa tembo.
This is an example of a trader sio unajua kutrade demo kelele kibaoScreenshot_20220730-140010.jpg
 
Hakuna kinachoonekana hapo mi naona uchafu tu
Kwanza ww sio trader ni mjaza Uzi tuh....ungekuwa trader ungeona risk to reward ratio pia ungeona bias ya mwelekeo wa pair husika afu pia ungenyamaza ukasubiria mwelekeo ndo uje uandike utopolo hapa...🤠
 
Back
Top Bottom