Yaani mtu aone kabisa hapa kuna mtego wa kuingiza mamilioni ya pesa ashindwe kuwaambia ndugu zake na wazazi wake kuingiza hizo pesaJibu la watu kama nyie huwa ni rahisi sana. Kwanini usimshawishi mzee wako auze kiwanja au nyumba ili mtengeneze hela, au unapenda muendelee kuwa masikini
How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.Inaonekana wew ni guru sana tell us wat makes money
Umesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.Inaonekana wew ni guru sana tell us wat makes money
Bado hujaiva hujamasta your craft yoyote Ina Mana wewe Ni Mr yoyote,or Mr allYoyotee yenye kujipendekeza
Umesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
Kwamba hauwezi kufungua account mpaka sasa? Ni very easy mkuu maelezo yoote yapo pale kila kitu kinajieleza ni wewe kufuata muongozo .Fungua ww Kisha nipe details nilog in Kisha uje iShare hapa wadau wote waone
Unapowasiliana na mtu yeyote jaribu kutumia kauli nzuri maana hauwezi jua msaada wa huyo mtu utakuwa ni upi kwako forex naielewa vizuri sana kuliko unavyodhani so kama utashindwa hiyo task ndogo basi sina cha kuchangia.We utamsaidia Nan kwa mfano
Kingine jaribu kurekebisha kauli yako unapowasiliana na watu, ipo hivi labda nikueleweshe strategy unayoitumia ina effect kubwa sana kwenye entry zako na unapozidi kuchelewesha entry ndivyo utakavyovuna pips chache sijui kama umesoma hili pia?Much know tuh huna lolote kaka Kwan lengo ni kutengeneza pesa ama kutumia strategy ngumu 😂😂😂 wabongo nyoso khaaa
Huyu dogo ana dharau watu asiowajua 😄 na hataki hata kufungua hiyi demo yenyeweAch
Achana na huyu newbie kwenye industry
DuhAm just newbie ,am best loser,am fukd up, am mistake doer,I know nothing so relax. Ila swali lako linajibiwa kuwa dig deep real deep you'll understand. Isn't easy but it can be done with only undying, unquenchable steel iron guy type having endless passion, perseverance, effort, dedication, courage, warriors mentality to walk the real walk where many run away full of thorns,fire,real bullets,real gun fighting
How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.
So umeshaongea na watu wanaotredi kuwa watakuwa always wanakuja wanakuachia hela zao kwa ratio iyo iyo. Hebu tuone ulivyoipata iyo strategy yako. Hebu lete trades zako hapa ili tuzione kweli kama Zina comply na iyo rrr yako Kama hauongopi
Huyu dogo ana dharau watu asiowajua 😄 na hataki hata kufungua hiyi demo yenyewe
Unashida ww unaecomment Kila Uzi uonnekane umo....forex ni mchezo alokwambiaa nani
Kwan nimemlazimisha mtu wazee kama unaona niutapeli si basiKashauriwa aweke tangazo lake la utapeli hapa jf
Wewe nawe hujui kabisa kitu.Nope sidhani for supply and demand angepiga zaidi ya hapo itakuwa ni PRICE ACTION au support and resistance huyu bado kinda sana
Unataka analysis amaAm just newbie ,am best loser,am fukd up, am mistake doer,I know nothing so relax. Ila swali lako linajibiwa kuwa dig deep real deep you'll understand. Isn't easy but it can be done with only undying, unquenchable steel iron guy type having endless passion, perseverance, effort, dedication, courage, warriors mentality to walk the real walk where many run away full of thorns,fire,real bullets,real gun fighting
How guarantee you're with what you're talking. Si ukaiuze iyo strategy utapata hela nyingi mno kuliko iyo 50-50 share ya $200 account management mkuu.
So umeshaongea na watu wanaotredi kuwa watakuwa always wanakuja wanakuachia hela zao kwa ratio iyo iyo. Hebu tuone ulivyoipata iyo strategy yako. Hebu lete trades zako hapa ili tuzione kweli kama Zina comply na iyo rrr yako Kama hauongopi
Bado hujaiva hujamasta your craft yoyote Ina Mana wewe Ni Mr yoyote,or Mr all
This is an example of a trader sio unajua kutrade demo kelele kibaoWewe nawe hujui kabisa kitu.
Strategy Tatu zenye uweze kukupa matokeo chanya zote zimebase kwenye market structures.
1. Dow theory
2. Wyckoff theory
3. Eliott wave theory
Entry strategy
Supply and demand ni Best of the best sababu inakupa uwezo wa kukadiria precisely number of pips for SL and TP.
Supply and demand inakupa ubabe sokoni wa kutrade kama big banks (institutional strategy and smart money) wakati Gani wanaingia sokoni na wakati wa kutoka.
SR,TL,MAs, Fibonaccci tools hizi assistance tools tu sio za kuzitegemea sana.
Unaweza ukawa unajua hayo madude yote na still ukapigwa kama kawa sababu hujui risk management and position sizing.
Mtu ana kimtaji Cha dollar 200 anafungua order 5 za lot size ya 0.01 hii ni betting my friend.
Au ana kimtaji Cha dollar 2000 anafungua order 7 za 0.1 hii pia ni betting utapigwa tu utake usitake utakuwa emotions za ajabu sokoni. Once sokoni likianza enda ndivyo sivyo sababu ya earli entries utakata loss hadi hapo unapunguza mtaji utawipe account kwa staili hio
So risk management and position sizing itakufanya ujue ni kiasi gani utalose first hili ndio la msingi (ujue kwanza unataka lose kiasi gani mara nyingi ni 1%-2% ya account) then reward Yako itakuwa kiasi.gani.
Utaweka position Yako free out emotions utaenda mitikasi Yako kwako hizo strategy Zina accuracy kubwa kwa hakika utalipasua pasua soko.
Anyway nimemwaga Mchele kwenye kuku wengine tatizo wengine ni Bata tu wao Wanakula mavi na kunya uharo.
Forez is not for everyone. Usifate mkumbo.usiige kunya kwa tembo.
Hakuna kinachoonekana hapo mi naona uchafu tuUnataka analysis amaView attachment 2308874
This is an example of a trader sio unajua kutrade demo kelele kibaoView attachment 2308874
Kwanza ww sio trader ni mjaza Uzi tuh....ungekuwa trader ungeona risk to reward ratio pia ungeona bias ya mwelekeo wa pair husika afu pia ungenyamaza ukasubiria mwelekeo ndo uje uandike utopolo hapa...🤠Hakuna kinachoonekana hapo mi naona uchafu tu
Huyu ni newbie mazeee anashindwa hata kucostomize trading viewUnataka analysis amaView attachment 2308874
This is an example of a trader sio unajua kutrade demo kelele kibaoView attachment 2308874
Umeona charts zinavotakiwa kuwa trading view,Unataka analysis amaView attachment 2308874
This is an example of a trader sio unajua kutrade demo kelele kibaoView attachment 2308874