Namanage Account za Forex

Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Tumia fedha za makampuni.

Je kampuni zipi hizo??

Ingia hapa, soma pinned msg zote. Utapata idea nini unapaswa kufanya.
Code:
https://t.me/propfirms
Utanishukuru baaadae! Kila lakheri
==
Ideas!
Code:
https://t.me/PropFirmsTradingIdeas

==
Thread closed
 
Hustle ndo zimenifanya nifike hapa mkuu...na kama ulidhani umeniumbua kwa kuweka Uzi wangu huu polee na ukumbukee ningeweza kuufuta kama nilikuwa na mpango mbaya...most of traders wanaotoboa wamesota na ndomana hatusumbuliwi na emotional matters coz we come from a very far journey mzee ww ungeweza kusugua sink na una bachelor of laws😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa si ucheze hyo forex mwenyewe upate mahela mwenyewe uwe tajiri mwenyewe au unataka uchezee hela za watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sami akiendelea kuupiga mwingi bas tutajionea na kusikia mengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ko unaamini fx ni mchezo we jamaa ni layman wa kwanza kabisaa
 
Ko unaamini fx ni mchezo we jamaa ni layman wa kwanza kabisaa
kwahyo unataka kusema fx ni nn labda ni kazi ile ni shamba lile unalima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
follow this buddah
 

Attachments

  • 8D239799-F423-47D6-B962-61A2FBFF7B2B.png
    123.9 KB · Views: 21
I don't follow the masses.
 
Achana na account management mkuu utaumia,walikuwepo kina Ontario,magnetics,born to fx nk,trade ur own account usitafute lawama.

Km uko criaz na forex find a job au fanya business ingine,forex iwe side hustle.
 
Thanx kaka tapeli sio...[emoji3526][emoji3526] That is my country na Sina nyingine ndafanyaje Sasa daah hahahaha
Link your current trading account with myfxbook.

Then, share a link with us, we'll see and judge how genuine you are.
 
Exness na just forex naona wako fresh kwangu kutokana na instant withdrawal pia spread za exness zinanikwosha sana
We ni mtoto sana kwenye hii 'industry'.

Huna unachojua.
 
We ni mtoto sana kwenye hii 'industry'.

Huna unachojua.
Sema unachojua sio unagusa jujuu tuh....ukijiona profitable ujue kuna walio zaidi Yako mkuu....kuandika Uzi kuhusu forex kabla yangu kusikufanye ukajiona Bora kuliko Kila mtu..
 
Acha kabisa kaka, yaani jamaa kapopolewa mawe mpaka hamu hanayo.
Niache kukwepa mawe kwenye mt4/5 nihangaike na matatizo ya +255 jamaa hamnazo sana kwa mawazo hayo polee
 
Sema unachojua sio unagusa jujuu tuh....ukijiona profitable ujue kuna walio zaidi Yako mkuu....kuandika Uzi kuhusu forex kabla yangu kusikufanye ukajiona Bora kuliko Kila mtu..
Hata basics zinakushinda.

Leo unataka ku-manage acc za watu?

Nenda FTMO uka manage zao.
 
Freedom of choosing a broker ndo zinakufanga useme basics zinanishinda aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sure basics zinakushinda dogo.

Komaa na mt4 hio upate Hela

Achana na Hela za watz watakuloga ufe.

Kuna mwenzako kafa juzi kati kisa hizi hizi akaunti za kumanage.

Jifunze ku customize tradingview kwanza na kutumia tools zake.

Halafu achana na indicators,robot na templates.

Jifunze market structures uwe mtabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…